Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
Aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu wa CCM mkoa wa Morogoro Bwana Sixtus Mapunda ameteuliwa kuchukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Martine Shigela (Katibu Mkuu UVCCM), je vijana kuna lolote tulilojifunza kutoka kwa kaka Shigela na je bwana Mapunda ni kijana wa aina gani, je ataweza misukosuko ya siasa za leo?