Kwa haya yanayomkuta Ole Sabaya, ni dhahiri akimalizana salama na TAKUKURU atachukua kadi na kujiunga CHADEMA!

Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema.
Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema.

Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni wazi Chadema watampokea, watamsamehe na kumsafisha

Kazi Iendelee!
Kwanza ni upumbavu kuweka makada katika serikali, ndiyo maana hatuwezi kupata mabadiliko ya MFUMO.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema.
Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema.

Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni wazi Chadema watampokea, watamsamehe na kumsafisha

Kazi Iendelee!
Huyo shetani ni wenu huko huko.
 
Ni wajinga tu wanaoamini Sabaya yuko rumande.

Ila akiahamia chadema tegemea atapata mapokezi yakifalme na atazawadiwa mivyeo kibao
 
Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema.
Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema.

Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni wazi Chadema watampokea, watamsamehe na kumsafisha

Kazi Iendelee!
Na mbowe atampokea tena na kumpa wadhifa mkubwa ndani ya chama.
 
Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema.
Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema.

Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni wazi Chadema watampokea, watamsamehe na kumsafisha

Kazi Iendelee!
Umemsahau nyalandu
 
Bwashee kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu!
Sijui wawazungumzia akina nani?
Mwendazake alikuwa na chuki, hasira na uadui wa kudumu tena kwa hata wasio na makosa yoyote. AIDHA alipenda sana kuomba kuombewa na kusamehewa wakati kwake YEYE ilikuwa ni dhambi kabisa.
Sabaya na wenzake akina Mnyeti na wale ma RPC/RC nao wako hivyohivyo hata walipoongeza na vionjo vyao, CCM ikawa ndio inajivunia zaidi. Kaeni nayo kwa upendo na majoka yaliyojaa sumu kwani mliyazalisha wenyewe. Mkiwa mnajaribu kuyatafutia pa kuyapeleka angalieni kwenye vyama vyenu pendwa, KAMWE msiihusishe CHADEMA.
 
Back
Top Bottom