Kwa harakaharaka tu…

Kwa harakaharaka tu…

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
1,505
Reaction score
677
Wewe unadhani atakuwa anafanya. Kazi gani huyu mtu?
 

Attachments

  • 1421347842635.jpg
    1421347842635.jpg
    21.3 KB · Views: 692
Huyu jamaa amekaa kama dobi au fundi cherahani!
Lakini pia amekaa kama mtu anayependa kuchora picha, na hasa picha za wanyama.
NYONGEZA: Anaonekana alifika mjini ukubwani, anaonekana mama yake alifariki wakati jamaa akiwa mdogo sana. Inaonekana kwamba jamaa alipata makuzi ya taabu mno!
Katika kumwangalia mikono yake inaonekana pia amewahi kufanya kazi ya kuuza maji.

Nikimtizama inaonekana kwamba the next career move ni kuanza kuuza uzuri/urembo!
 
Back
Top Bottom