Kwa hapa Dar kuna soko la mitumba kushinda Memorial Moshi?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Wakuu eti kwa hapa Dar ni wapi wana soko la mitumba ya nguo na viatu kushinda hata Maimoria Moshi?

Nilienda Maimoria nilienjoy sana viatu vipo bei nzuri mno, vipi kwa Dar nguo na viatu mtumba bei chee vinapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom