Kwa hali hii tutaponaje

Kwa hali hii tutaponaje

Daffi Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
3,824
Reaction score
909
Kwa hali kama hii atasalia mtu kweli!!!wafadhili kutoa msaada mpaka ushoga uhalalishwe,maisha yanazidi kuwa magumu!!!Tutaponaje sasa na tufanyeje!!!!???
Somalia.jpg
 
Tukiamua kusimama sisi kama sisi waafrika tuna uwezo mkubwa wakuiendeleza nakuendelea pindi tutapoachana fikra tegemezi
 
Na hilo ndilo suluhisho la yote, hakuna haja ya kujipendekeza kwa jirani mwenye 'USARITI' Kama nchi za magharibi
 
Hata tukifa njaa sio ishu we bana yani ina maana mtu akija kwako akuambie ili akupe fedha lazima akutie dole la nanihiino we utakubali!! Tuambie bwana labda nawe ni kameruni!
 
Itabidi midume kwa midume mkubali kugeuzana/ kuhemeana kwa nyuma ati, ili mkono uende kinywani
 
nyie si mna madini? sasa mlivyo maharage madini mmewapa bure wanabeba kwa kuwadanganya misaada sasa kibao kimegeuka no kupumuliwa kisogoni no misaada kudadeki
 
Back
Top Bottom