Kwa hali hii nitaendelea kuchepuka tu!!

Kwa hali hii nitaendelea kuchepuka tu!!

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,708
Reaction score
8,747
Buena Sabado amigos
Ama kweli kuwa na mpenzi mfanyakazi wa kuajiriwa ni taabu kweli kweli
Wale wanaolalamika kunyimwa unyumba na wapenzi/wake zao kisa tu uchovu wa kazini ni kweli jamani Mimi nimeprove
Wanawake wanasababisha wenyewe wanaume tuchepuke
Mimi nna mke ambaye bado hatujafunga ndoa ila tupo kwenye mahusiano zaidi ya miaka 5 sasa na tuna mtoto mmoja
Huyu mwenzangu kaajiriwa na tunaishi mbalimbali ,sasa mwezi huu nkajisemea niende kwa mama nami nkaburudike manake kitambo sijakwichi kwichi nae
Nipo hapa kwa mama mtoto mwezi unaisha sasa kila nikiomba unyumba mama anadai kachoka na kazi za ofisini kwao
Ni kweli anakua busy sana pale kazini kwao hilo halina ubishi
Sasa najiuliza uchovu wa kazini unahusiana vipi na Mimi kunipa unyumba?? Tangu nimewasili hapa kwake unyumba napata kwa Shida kisa kachoka ,hadi nimeanza kuwakumbuka michepuko yangu ya mkoani ambayo nikitaka muda wowote nakutana nao
Mimi nlichoamua ni kupotezea kama hataki kunipa unyumba fresh ,nimefululiza kupiga nyeto na siku 2 mbele narudi kwangu nkakutane na michepuko yangu maisha yaendelee yeye abaki na ubusy wake
Wanawake mnachangia sana wanaume tuchepuke na mnachangia kuharibu mahusiano yenu
Sasa unaponinyima unyumba wewe mke wangu unataka nikafanye na nani ,nikichepuka unaanza kulalamika sikupendi Mara Mimi sio mwaminifu
Mimi ni mwanaume rijali damu inachemka ukinibania unyumba ntapiga nyeto mbele yako na nkikutaka na michepuko yangu ntaendelea kuigalagaza
Wewe si umeolewa na hiyo kazi yako
Bora niendelee kuchepuka tu
 
"Kozi Mwanamandada, kulala na Njaa kupenda"
 
Wanakula wenziyo wewe unaamini ni kazi hakuna wake makahaba kama wanaofanya kazi. Utaskia naenda semina kumbe anaenda kukutana na mchepuko akirudi nimechoka kumbe mchepuko umemchosha duh
 
Miaka mitano, mna mtoto ila hamjafunga ndoa...hivi nani kawaroga? hivi unataka ndoa gani tena mfunge? au mpaka mchungaji asimamie shoo!

Anyway pole mkuu, huo uchovu wake kuwa nao makini jombaa!
 
Kwa mwendo huo lazima akunyime we mwezi mzima unasubiria papuchi kwani hauna kazi nyingine ya kufanya?
 
Mimi nna mke ambaye bado hatujafunga ndoa ila tupo kwenye mahusiano zaidi ya miaka 5 sasa na tuna mtoto mmoja....

Huwezi muita mke ilihali hujafunga naye ndoa...

Huyo utamuita tu mama wa mtoto wako au mpenzi wako wa kudumu au mchumba mzoefu...

Na kwa mantiki hiyo basi si ajabu naye ana michepuko yake kama wewe....
 
Kugonga nje sababu umenyimwa ndani hata sio raha na ujanja. Ni sawa na ukigongewa Halafu eti ukajifariji na kugonga nje na wewe..ujinga mtuupu... hakupunguz maumivu au ukweli umegongewa
 
Nakuunga mkono hata mimi siwezi vumilia aiseee huyo bibi hajui sex ni basic need!!!! Kumbuka kucheza salama tu ila nyeee hazivumiliki
 
Back
Top Bottom