Kwa hali hii nitaendelea kuchepuka tu!!

Kwa hali hii nitaendelea kuchepuka tu!!

Kama ambavyo weye uko na michepuko huko "mkoani" ndivyo na yeye alivyo nao hapo "mjini".

Ukweli mchungu.
 
Kuchepuka ni tabia ya kishamba.

Cha msingi tafuta mke mdogo then mtambulishe kwa mke mkubwa.
 
Kufa kufaana mkuu. Ukiuwa kwa upanga nawe utauawa kwa upanga
 
Back
Top Bottom