MONTESQUIEU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 847
- 80
Wakanywe naye chai
Licha ya yote yanayosemwa lakini watu wapi. Ni lowasa tu
Kwakuwa umeshepewa fedha wala sikushangai kushabikia uongo wako huo uliopost hapo juu.
UKAWA wanajifariji na kujiandaa kisaikolojia kwani wanajua wametoka nje ya misingi ya kupiga vita maovu na sasa wanapigavita ili waovu waingie madarakani.
Mbwamwitu ndani ya ngozi ya kondoo
Licha ya yote yanayosemwa lakini watu wapi. Ni lowasa tu
Kwakuwa umeshepewa fedha wala sikushangai kushabikia uongo wako huo uliopost hapo juu.