Kwa hali hii ikifika 2020 hali itakuwaje

Ombi lako ni ombi langu, Mungu akiepushie kizazi changu na dhambi/aibu hii!
Sijui hata nitaiweka wapi sura yangu nikisikia mwanangu/kaka yangu kaolewa!
ni suala la kumtegemea mungu na kujitahidi kujiepusha vimazingira yote....
 
Natamani haya mambo yakitokea niwe nimekufa,.......agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr..puuuuuuuuuuuuuuuuuuuf

yameshatokea mkuu ndo maana unayaona. kama kuna kitu tulio wazazi ni kuomba kwa bidii kwa ajili ya watoto wetu,wazazi kuwa nakaribu na watoto wao, shule wanazopelekwa, vyuo wanavyoenda na mahali gani wanakaa wakiwa huko masomni! yani nihatari sana.
 
Sijui ni mimi tuuu lakini ndani ya moyo wangu naona Bora ya mwanamke anayetoka na mwanamke mwenzake kuliko Mashoga...............

Mashoga yananitia KINYAAAAA.

Maoni yangu tu....
Hata mimi aisee huwa nawazaga hivyo. Wanawake wanachezeana sehemu halali lakini midume uchafuuuuu!
 
kwakweli tunapaswa kuomba kwa kila imani ili yatuepuke hayo,sema ni mambo ambayo yapo tena graph yake inapanda kwa kasi ya ajabu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom