Kwa graduates wanaohitaji kusoma CPA

konda msafi

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
1,752
Reaction score
9,046
Kwa graduates wanaohitaji kufanya mitihani ya board ya uhasibu (NBAA), kuwa Certified Public Accountant (CPA) tafadhali mnitafute. Intermediate na Final stage. Nicheck inbox kwa mawasiliano zaidi.
 
ongeza maelezo kuhusiana na mada tajwa.
Nashusha nondo za kufaulu single sitting kwa stage ya intermedeate na final. Kama una degree ya uhasibu kutoka chuo/vyuo vinavyotambuliwa na NBAA utaanzia intermediate stage. Nafundisha masomo ya intermediate na final tu. Wanafunzi wangu wametoka wanachekelea kwenye paper iliyoisha ijumaa, 2 November. Hivyo kama unahitaji kufanya hii mitihani kwa kujiamini please usisite kuwasiliana nami.
 
Unafundishia getoni kwako?
Hapana mkuu sio getoni kwangu. Tuna review classes zetu open to everyone. Pale juu nimesema mwenye uhitaji anifuate inbox for more details.
 
Hii NBAA inatakiwa ifutwe tuu na serikali manaa haifai hii inakula tuu ela za wanachama aina maana mkuu Magufuli hii board ya uhasibu tunakuomba uifute tuu kuna uwozo sana kwny hii board yani ifutwe kabisa kama ikiwezekanika itakuwa vzr sana wamefanya board kuwa kitega uchumi..Mkuu magufuri tunakuomba usikie kilio chetu wahasibu hii board haifai ifute mkuu...
 
Mkuu kuwa mstaarabu japo kidogo kaka. Hayo mambo ya NBAA kufutwa ungeanzisha uzi wako mwingine na wala sio kwenye bandiko langu. Bandiko langu nimeliweka kwa ajili ya kuwasaidia graduates wanaohitaji kufaulu mitihani hii. Kama una CPA nafikiri utakubaliana na mimi jinsi hii mitihani inavyotesa watahiniwa wengi. Wengine mpaka huamua kukata tamaa kabisa kwa kusota muda mrefu bila mafanikio ya kupata CPA, so waache vijana wa pursue ndoto zao.
 
sawa mkuu ngoja niandike uzi wanguuu ila uwo ndo ukweli kwa mtu kama una akili hii CPA ckuizi imekuwa janja janjaa tuu wizi mtupu.
 
nisamehe mkuu najua unatafuta ulaji na ww ngoja niandae uzi wangu
Mkuu ila kuwa makini usije ukaanza kuwaponda NBAA halafu wakaja wakaipata GA number yako. Wanaweza kukufuta uanachama. Kama kuna kitu unakiona hakiko sawa please peleka malalamiko yako kwa kutumia proper chanel. Kila nchi duniani ina hizi boards, so NBAA haiwezi kufutwa.
 
Ukiandaa naomba uni quote. Ad toa sababu za msingi sio kusema wanakula hela tuu, sasa ulitaka wale nn. Njoo na fact kwann ifutwe. Mapendekezo yako yalenge madhumuni ya kuanzishwa NBAA usilopoke tuu
nisamehe mkuu najua unatafuta ulaji na ww ngoja niandae uzi wangu
 
hawana uwo uwezo....
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Konyooo.. ukiona naandika pumba unajua kichwa changu kinejaa makamasi eeh? Mscheeewwwwww tena
Kimtokacho mtu kinywani mwake ndicho kilichoujaza moyo wake.
Narudia tena “ELIMU HAINA MAANA”
 
Wale tuliosoma Taxation tunaanzia stage ipi? Kama mdau mmoja alivyoshauri hapa ungeweka na gharama ili tukija pm story zisiwe nyingi
Kuna dada mmoja alikuwa na degree ya taxation kama sikosei, alianzia foundation. Ila kwa sasa anamalizia intermediate stage. Ali-clear foundation na amefanya juzi intermediate. Ila bora uwasiliane na board kwa uhakika zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…