Kwa Facebook Black/Dark theme imetolewa wangapi mmeweza kuiona?

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
4,125
6,250
Facebook kupitia Facebook Beta wameweza kutoa Facebook Dark/Black theme kwa watumiaji wa Desktop na Laptops kuweza kupunguza contrast na kukukinga dhidi ya mg'ao unaoharibu macho.

Natumai hivi sasa utakuwa safe wakati wa matumizi!

Facebook Dark-Black.png
 
Kwa simu unapataje Facebook dark mode?

Sent using Jamii Forums mobile app
Facebook App bado wanafanya majaribio kuhusu Night Mode kwa simu. Kuna baadhi ya watu wanaweza kuweka lakini ni wachache na wengi based Europe and Northern America.

Kwa Messenger app unaweza kupata night mode kwa kumtumia mtu yeyote 🌙 'Mwezi' au kubofya Profile Picture- Kisha - Dark Mode.
 
Back
Top Bottom