Kwa Dunia ya Sasa DNA ni muhimu. Msipuuze!

Dah ni sawa DNA ni muhimu ila ma dna yenyewe cku izi ni kama siasa kwa sbb,,,unakuta kuna mababa wawili wanagombea mtoto afu mnakwenda ktk dna mnaanza kuulizwa maswalimaswali mpaka inafahamika anayekaa au aliyelea mtt ni nani kisha utackia tu mtoto anapewa yule mlezi ingawa c wa kwake lakini ataambiwa dna inasema mtoto ni wako.
Hii sasa sio nzuri kwa ustawi wa jamii. Sababu vinasaba huathiri sana malezi na makuzi ya watoto
 
Hayana adabu sio kwa sababu ni watoto wa siku hizi laaa,bali hawana adabu kwa sababu ya malezi wwanayolelewa na wazazi wao sio malezi mazuri.

Hivyo katika hoja hii lawama watupiwe waleaji na sio kutupiwa lawama watoto wa siku hizi,

Labda hapa niulize,kivipi DNA iwe ni muhimu kwa kuwa tu watoto wa siku hizi hawana adabu ?

Hapa hujaonesha kivipi mtu anakuwa mtumwa kwa mkewe endapo mtoto atakuwa sio wake,umetaja neno utumwa lakini hakuna mazingira madhubuti uliyoyaweka kuonesha utumwa huo.

Hapa pia naomba kuuliza huo utumwa kivipi ?

Hapa pia hujaonesha ni kwa namna gani unauza ufalme kulea mtoto ambae sio wako.

Kama hoja ni suala la kulea mtoto ambae sio wako basi tambua kwamba kuna wanaume wanaoa masingle mother wenye watoto tayari na wanakaa nao pamoja na maisha yanaenda vizuri tu.

Hapa pia naomba kuuliza ni athari gani tunaziona katika ndoa ambayo mwanaume kauza ufalme wake kwa mwanaume mwingine ?

Hili jambo halina uthibitisho wowote kwa sababu hukai na simba wote duniani ukajua kwamba wote hawafanyi hivyo.

Kwanza hakuna uthibitisho wowote kwamba simba wanaoana,kama upo nauomba mkuu.
Kama hatujui simba wanaoana au hawaoani sisi tunachoona ni mahusiano yao kwamba huyu ni dume na yule ni jike hivyo kuwatumia simba kwenye jambo hili sio jambo zuri.

Unamaanisha kama ndoa zingekuwa mpaka kifo kiwatenganishe basi DNA zisingekuwa na umuhimu wowote ule hata kama baba mtu anajua mtoto anayemlea sio wake ?

Unamaanisha kwa watu ambao maisha yao ya sasa ni marahisi yamewanypokea DNA kwao sio muhimu ?

Ni kweli nakubaliana na wewe inaumiza kihisia sana.je kama hutojua kama sio wako si haiumizi ?

Kwa sababu ukijifanya kuchunguza chunguza unaweza kukuta mwana sio wako,sasa kwa nini uchunguze chunguze wakati unajua ukikuta matokeo ambayo sio uliyotarajia utaumia mzee ?

Hii kauli yako inatakiwa ifahamu kwamba sio wanawake wote wa sasa kwamba hawana utu hapana wapo wenye utu,wanaojali na wasiokuwa na tamaa ya pesa kinyume na mahitaji muhimu tu.

Tambua pia kwamba kuna wanawake ni wa sikuhizi lakini bado ni waaminifu,sio wabinafsi,hawapendi pesa kinyume na utaratibu.

Je kwa mtu mwenye mke wa aina hii unadhani kuna umuhimu wowote wa yeye kwenda kupima DNA ?
Bwana ROBERT HERIEL naomba majawabu juu ya maswala yangu haya.
 
Kama ni mwanaume nina mashaka na wewe, sio riziki na huna nguvu za kiume. Swali lako la kitoto mno.
Sio kila unachoamini wewe ndio sahihi hada dawa inaweza kukufaa ww isimfae mwingine kwamaradhi yaaina moja umesema mengi yapo yakweli ila unaposema et mtoto wakumzaa ndowako tunaishi kwenye jamii hali ni tofaut usemacho kuna mengi yana ukweli ila yanamapana yake
 
Kuna jamaa wangu alibambikiwa mtoto huko mafia DNA ikamuokoa.
Ni hivi tulikuwa Kwenye project flani kisiwa cha mafia for 3 yrs.
Jamaa yangu alikuwa na mke na watoto2 mapacha wapo dar na mke ambaye alikuwa ana maduka Kariakoo.
Tulikuwa tunaweza kaa mafia miezi hata 3 hatuji dar mi vile vindege vilikuwa vinaniogopesha Sana.
Sasa kule jamaa akapata demu kashombeshombe hivi ,mcharuko hatari.
Kupigapiga akaambiwa amempa mimba .
Jamaa akaona isiwe tabu ngoja nisikilizie kitoto cha kishombeshombe.
Kweli miezi ikakatika kikazaliwa kitoto cha kishombeshombe.
Jamaa akawa kila mwezi anampatia yule binti laki 3 za matumizi yake na mtoto.
Yule binti alikuwa anasumbua Kwenye fedha anaweza kupewa laki Tatu ndani ya wiki anasema imekwisha.
Yule binti sijui alipata wapi Namba ya simu ya mke wa mshakji hapo ndipo shida ziliongezeka ,jamaa akijifanya mkali anaambiwa nitamwabia mke wako umezaa na Mimi,jamaa anakuwa mpole.
Kuna siku tupo ufukweni na mshaji wetu daktari alikuja kikazi binti akaja na mtoto huko beach anarap anataka hela wakati jana alipewa laki mbele yangu, yaani ilikuwa kero , jamaa akampa hela nyingine tena elfu 50.
Yule mshakaji daktari akamuuliza unahakika kabisa huyu mtoto ni wako?
Jamaa akasema sina uhakika manake katoto kenyewe kashombeshombe mama yake mtupu.
Yule daktari akasema anahisi huyo mtoto sio wa jamaa akashauri jamaa amkomvisi yule binti aliyezaa naye wakapime DNA.
Kabinti kwanza kalitaka kukataa ila baadae akakubali.
Basi ukafanyika utaratibu wakaenda Mahakamani wakaapa then wakaenda kwa daktari wa wilaya akawachukua sampo, jamaa alisema walichukua nywele na tishu za ulimi za mtoto na wazazi zikawekwa Kwenye test tube tofauti jamaa akalipia laki 3 zen zikatumwa kwa mkemia mkuu dsm
Baada ya mwezi majibu yakaja wakaitwa wote wakasomewa Matokeo.
Matokeo yakaonyesha kwamba jamaa sio baba wa mtoto.ila mama ni mama wa mtoto.
Yule binti aliyakataa Matokeo , yule binti akapewa nakala ya majibu yake akaambiwa aende kwa mkemia mkuu dsm apeleke lalamiko la kukataa Matokeo. Yule binti hakuweza Fanya hivyo nahisi alikuwa anajuwa ukweli.
Kimsingi jamaa alimshukuru Sana yule daktari aliyemshauri apime DNA kwani ilimsaidia kumuondolea kero moja kubwa Sana na yule binti
Jamaa anakwambia hata alupokuwa anakaa naye huyo mtoto alikuwa Hana hisia naye kabisa Kama hisia alizonazo kwa watoto wake na mke wake wa ndoa.
Jamaa akaomba na kuhama kabisa mafia kabla hata project haikuisha.
Jamaa alitokea ghafla kumchukua Sana yule binti na katoto alikuwa ameshamgharim zaidi ya 2m kumhudumia.
Baadae nasikia yule binti akampeleka yule mtoto kwa jamaa mwingine shombeshombe mwenzake ambaye kwanza alikataa naye akashauriwa apime DNA , wakapimwa ikaonekana mtoto wake, akakubali kumuhudumia mtoto ila yule binti alimkataa kwani anajua uhusiano wa huyo binti na mshkaji pamoja na binti kumpa mtoto baba ambaye sio wake kwa sababu jamaa alikuwa na uwezo.
Ila mafia kuna uzinzi sana namshukuru Sana Mungu alinilinda kwa ukweli.
Kuna jamaa tulikuwa naye Kwenye hiyo project yeye kuna kabinti alikuwa anatembea nacho kalimchezea show Kali Sana ya kutengeneza fumanizi la kupangwa ambapo jamaa akafungishwa ndoa ya mkeka hapohapo.
Jamaa alikaa na hako kadem/mke wiki akasepa zake dsm HQ akaomba excuse nyingi hawezi kuishi mafia akahamishwa
 
Nimejenga hoja kwa kumuuliza maswali mtoa mada hili swali limekatika niiliambataniaja na hhoja ambazo zipo katika comment namba 52.
 
Sio kila unachoamini wewe ndio sahihi hada dawa inaweza kukufaa ww isimfae mwingine kwamaradhi yaaina moja umesema mengi yapo yakweli ila unaposema et mtoto wakumzaa ndowako tunaishi kwenye jamii hali ni tofaut usemacho kuna mengi yana ukweli ila yanamapana yake
Mtoa mada sababu zake alizoweka kutetea DNA zina maswali mengi sana ambayo nimejaribu kumhoji katika comment namba 52 ila mpaka leo hajajibu maswali ambayo nimemuuliza.

Lengo langu ni kutaka kuonesha kuwa tusitetee jambo kwa hoja ambazo hazina msingi mzuri wa uhakika wake.
 
Dah ni sawa DNA ni muhimu ila ma dna yenyewe cku izi ni kama siasa kwa sbb,,,unakuta kuna mababa wawili wanagombea mtoto afu mnakwenda ktk dna mnaanza kuulizwa maswalimaswali mpaka inafahamika anayekaa au aliyelea mtt ni nani kisha utackia tu mtoto anapewa yule mlezi ingawa c wa kwake lakini ataambiwa dna inasema mtoto ni wako.
Hii noma!
 
Kuna jamaa wangu alibambikiwa mtoto huko mafia DNA ikamuokoa.
Ni hivi tulikuwa Kwenye project flani kisiwa cha mafia for 3 yrs.
Jamaa yangu alikuwa na mke na watoto2 mapacha wapo dar na mke ambaye alikuwa ana maduka Kariakoo.
Tulikuwa tunaweza kaa mafia miezi hata 3 hatuji dar mi vile vindege vilikuwa vinaniogopesha Sana.
Sasa kule jamaa akapata demu kashombeshombe hivi ,mcharuko hatari.
Kupigapiga akaambiwa amempa mimba .
Jamaa akaona isiwe tabu ngoja nisikilizie kitoto cha kishombeshombe.
Kweli miezi ikakatika kikazaliwa kitoto cha kishombeshombe.
Jamaa akawa kila mwezi anampatia yule binti laki 3 za matumizi yake na mtoto.
Yule binti alikuwa anasumbua Kwenye fedha anaweza kupewa laki Tatu ndani ya wiki anasema imekwisha.
Yule binti sijui alipata wapi Namba ya simu ya mke wa mshakji hapo ndipo shida ziliongezeka ,jamaa akijifanya mkali anaambiwa nitamwabia mke wako umezaa na Mimi,jamaa anakuwa mpole.
Kuna siku tupo ufukweni na mshaji wetu daktari alikuja kikazi binti akaja na mtoto huko beach anarap anataka hela wakati jana alipewa laki mbele yangu, yaani ilikuwa kero , jamaa akampa hela nyingine tena elfu 50.
Yule mshakaji daktari akamuuliza unahakika kabisa huyu mtoto ni wako?
Jamaa akasema sina uhakika manake katoto kenyewe kashombeshombe mama yake mtupu.
Yule daktari akasema anahisi huyo mtoto sio wa jamaa akashauri jamaa amkomvisi yule binti aliyezaa naye wakapime DNA.
Kabinti kwanza kalitaka kukataa ila baadae akakubali.
Basi ukafanyika utaratibu wakaenda Mahakamani wakaapa then wakaenda kwa daktari wa wilaya akawachukua sampo, jamaa alisema walichukua nywele na tishu za ulimi za mtoto na wazazi zikawekwa Kwenye test tube tofauti jamaa akalipia laki 3 zen zikatumwa kwa mkemia mkuu dsm
Baada ya mwezi majibu yakaja wakaitwa wote wakasomewa Matokeo.
Matokeo yakaonyesha kwamba jamaa sio baba wa mtoto.ila mama ni mama wa mtoto.
Yule binti aliyakataa Matokeo , yule binti akapewa nakala ya majibu yake akaambiwa aende kwa mkemia mkuu dsm apeleke lalamiko la kukataa Matokeo. Yule binti hakuweza Fanya hivyo nahisi alikuwa anajuwa ukweli.
Kimsingi jamaa alimshukuru Sana yule daktari aliyemshauri apime DNA kwani ilimsaidia kumuondolea kero moja kubwa Sana na yule binti
Jamaa anakwambia hata alupokuwa anakaa naye huyo mtoto alikuwa Hana hisia naye kabisa Kama hisia alizonazo kwa watoto wake na mke wake wa ndoa.
Jamaa akaomba na kuhama kabisa mafia kabla hata project haikuisha.
Jamaa alitokea ghafla kumchukua Sana yule binti na katoto alikuwa ameshamgharim zaidi ya 2m kumhudumia.
Baadae nasikia yule binti akampeleka yule mtoto kwa jamaa mwingine shombeshombe mwenzake ambaye kwanza alikataa naye akashauriwa apime DNA , wakapimwa ikaonekana mtoto wake, akakubali kumuhudumia mtoto ila yule binti alimkataa kwani anajua uhusiano wa huyo binti na mshkaji pamoja na binti kumpa mtoto baba ambaye sio wake kwa sababu jamaa alikuwa na uwezo.
Ila mafia kuna uzinzi sana namshukuru Sana Mungu alinilinda kwa ukweli.
Kuna jamaa tulikuwa naye Kwenye hiyo project yeye kuna kabinti alikuwa anatembea nacho kalimchezea show Kali Sana ya kutengeneza fumanizi la kupangwa ambapo jamaa akafungishwa ndoa ya mkeka hapohapo.
Jamaa alikaa na hako kadem/mke wiki akasepa zake dsm HQ akaomba excuse nyingi hawezi kuishi mafia akahamishwa

Sio poa Mkuu.
Hii ibaki kusikia na kusoma tuu isikukute
 
Back
Top Bottom