Kwa Diaspora CHADEMA damu

Mkuu Kimu Karadashi, kwanza asante kuiombea Chadema fedha za send off, lakini kwa the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, hakuna diaspora yoyote wa kuichangia Chadema as Tanzanians diaspora community collectively by mobilization, tena sijui hata ni Mtanzania gani huko diaspora mwenye guts za ku mobilize michango kwa Chadema!, bali Watanzania wana diaspora wenyewe mmoja mmoja, individually, tena ni wale waliojilipua, ndio waichangie Chadema send off money, uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.
P
Msengemanyoya dadadadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"kuiombea Chadema fedha za send off"

P umeuwa
Mkuu Kimu Karadashi, kwanza asante kuiombea Chadema fedha za send off, lakini kwa the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, hakuna diaspora yoyote wa kuichangia Chadema as Tanzanians diaspora community collectively by mobilization, tena sijui hata ni Mtanzania gani huko diaspora mwenye guts za ku mobilize michango kwa Chadema!, bali Watanzania wana diaspora wenyewe mmoja mmoja, individually, tena ni wale waliojilipua, ndio waichangie Chadema send off money, uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.
P
 
KIM KARDASH,
Mkuu Kimu Karadashi, kwanza asante kuiombea Chadema fedha za send off, lakini kwa the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, hakuna diaspora yoyote wa kuichangia Chadema as Tanzanians diaspora community collectively by mobilization,

tena sijui hata ni Mtanzania gani huko diaspora mwenye guts za ku mobilize michango kwa Chadema!, bali Watanzania wana diaspora wenyewe mmoja mmoja, individually, tena ni wale waliojilipua, ndio waichangie Chadema send off money, uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.

P
Diaspora akionekana anachangia tu basi passport atanyanganywa na visa hataruhusiwa kuina ndugu zake Tz. Tumefikia siasa za kikoloni chini ya utawala wa Magufuli.
 
Watu mnaoipenda chadema mlio nje hususan Marekani mnatakiwa kukisaidia chama kwa kufanya fundraising kukisaidia chama kulekea kwenye uchaguzi, nilizungumza na kiongozi mmoja alinipigia akiniomba nisaidie kufanya mobilization jukumu ambalo kwangu peke yangu naona ni gumu ndio maana nimelileta hapa nikiamini naweza kupata watu wawili watatu ambao watasaidia kubuni mpango mahsusi wa namna ipi bora ya kuifanya hiyo fundraising iwe successful na kuhakikisha inakwenda kufanya lengo lililokusudiwa,pia kuhakikisha watakaojitolea hawatambuliki kama watapenda kutotambulika.

Shime wana chadema ,chama kitajengwa na wanachama,cuf walifanya sana hizi harambee miaka ile kutokea nchi mbalimbali na ndio zilikua zikiipa cuf jeuri ukiacha ruzuku.Niko tayari kushare contacts zangu na za viongozi wa chadema to the right people.

Nawasilisha

Hizi takataka ambazo ukiwashauri tu matusi?
 
KIM KARDASH,
Mkuu Kimu Karadashi, kwanza asante kuiombea Chadema fedha za send off, lakini kwa the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, hakuna diaspora yoyote wa kuichangia Chadema as Tanzanians diaspora community collectively by mobilization,

tena sijui hata ni Mtanzania gani huko diaspora mwenye guts za ku mobilize michango kwa Chadema!, bali Watanzania wana diaspora wenyewe mmoja mmoja, individually, tena ni wale waliojilipua, ndio waichangie Chadema send off money, uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.

P
How do win elections
KIM KARDASH,
Tutalijadili kwenye kikao tutakachokaa Jijini Texas mwezi ujao mwanzoni
Mjue kabisa intelejensia inafanyakazi vizuri kwenye mikutano ya wapinzani tu, ya viongozi wa chama dola intelejensia haifanyikazi yaani mikutano ya upande wa upinzni polisi wanaizuia wakati wowote wakijisikia kufanya hivyo
 
KIM KARDASH,
Mkuu Kimu Karadashi, kwanza asante kuiombea Chadema fedha za send off, lakini kwa the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, hakuna diaspora yoyote wa kuichangia Chadema as Tanzanians diaspora community collectively by mobilization,

tena sijui hata ni Mtanzania gani huko diaspora mwenye guts za ku mobilize michango kwa Chadema!, bali Watanzania wana diaspora wenyewe mmoja mmoja, individually, tena ni wale waliojilipua, ndio waichangie Chadema send off money, uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.

P
Kwanini wewe sio muumini wa vyama vingi yaani unavyoviongeleaga vyama vingi ni kama magaidi fulani...shame on you Pascal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How do win elections

Mjue kabisa intelejensia inafanyakazi vizuri kwenye mikutano ya wapinzani tu ya viongozi wa chama dola intelejensia haifanyikazi yaani mikutano ya upande wa upinzni polisi wanaizuia wakati wowote wakijisikia kufanya hivyo
Huo upuuzi hawawezi kutufanyia tukiwa nje ya nchi
 
KIM KARDASH,
Mkuu Kimu Karadashi, kwanza asante kuiombea Chadema fedha za send off, lakini kwa the political landscape ya siasa za Tanzania kwa sasa, hakuna diaspora yoyote wa kuichangia Chadema as Tanzanians diaspora community collectively by mobilization,

tena sijui hata ni Mtanzania gani huko diaspora mwenye guts za ku mobilize michango kwa Chadema!, bali Watanzania wana diaspora wenyewe mmoja mmoja, individually, tena ni wale waliojilipua, ndio waichangie Chadema send off money, uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.

P
Wasukuma kwa ulozi na ramli mnajitahidi.Ni ajabu mwandishi nguli kuwa yahaya kwa sababu tu ndugu yake ameigeuza nchi kuwa military state.Mtu gani mwenye akili timamu akasoma ramli,kazi ya uandishi pamoja na mambo mengine ni kuinfluence positive issues kwa jamii na sio kukatisha tamaa.Ni utafiti gani unaokupata mamlaka ya kuwaamlia wapiga kura chama kitakachoshinda kinyume na katiba?Your sense of reasoning is always naive and dramatic!
 
Nashauri diaspora wasichange, kwa sababu
1) Matumizi ya pesa watu wakiuliza huwa wanaishia kutukanwa
2) Unaweza changa mwisho wa siku mbowe akaleta kituko uchaguzi mkuu
3) Pesa za mchango wa lissu zilipigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom