Kwa dalili hizi the nation is economically Arrested

kasanga70

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
219
505
Kila uchao mwaka hadi mwaka viongozi,wataalamu nk akili yoote ya kukidhi mahitaji ya nchi inaelekea kuongeza kodi kwenye magari! Is this fair! Kwenye nchi yenye bandari gari kwa sasa ni gharama kuliko land locked countries tena magari yenyewe used! Je mapya! Naamini uwezo wa wataalam na viongozi kuongeza tax collection base umefika mwisho hakuna jipya!

Tufike mahali magari tuyaone kama ni nyenzo tu ya kutusaidia kufanya kazi sio vyombo vya starehe! Jifunzeni nchi za wenzenu! Kuishi tz now kwa furaha unahitaji kuwaza mambo mengi sana! Vipi kama watu wasiponunua magari kodi mtapata wapi?

Umizeni akili msikariri njia!
 
Mimi sitarajii tena kuagiza gari nje. Ntanunua haya haya 3rd hand, unapeleka kwa Mchina analipiga rangi linatoka jipya. 'Nimechoka kuitajirisha serikali hii isiyo sikivu'.
 
Back
Top Bottom