Kwa chini kidogo..........

De Javu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2010
Posts
264
Reaction score
33
Jamaa walikubaliana washindane kusema uongo ambao utafanana na ukweli, mshindi apewe zawadi...

Mmmarekani: Kwetu sisi kule New York kuna majumba mareeefu yanafika mbinguni!
Jamaa: loh nyumba gani hizo mpaka mbinguni?
Mmarekani: aah ok...kwa chini kidogo.

M-bagamoyo: Sisi kwetu kuna minazi mireefu inafika mbinguni!
Jamaa: loh na wewe nawe?
M-bagamoyo: hapana kwa chini kidogo.

Mmasai: Kule kwetu watu nasalia kwa kitovu!
Jamaa: aaah Mmmasai bwana loh umezidi sasa...
Mmasai: errooo kwa chini kidogo!

Mshindi ni nani hapo?


 
Huyo m-bagamoyo ndio yule aliezaliwa hana kichwa akawekea NAZI?
 
kwa chini kidogo ya kitovu kuna nyweeeel...sema sasa,kwa chini kidogo ndo hapo!
 
M-bagamoyo ni mshindi maana kwao kuna maajabu sana, minazi mirefu, vichwa nazi, bagamoyo zaidi.
 
Cjakusoma na hapo hakuna uongo ata mmoja unaofanana ata kukaribia na ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…