Mbona wameweka chaneli ya dini moja tu??!
Hivi gharama za kununua dish FTA mpaka ikamilike sh ngapi wadau?
Sasa king'amuz4 kuanza kuuzwa rasmi tarh moja March. Bei Tsh 145,000. Chnls 22 free.Local zipo 10. Hapo vipi? Bado package ya kulipia haijatolewa.
Hivi gharama za kununua dish FTA mpaka ikamilike sh ngapi wadau?
Wakuu kati ya hivi vingamuzi ni kipi nikinunua nitaweza kuangalia WWE?
Umeangalia tarehe ya hili bandiko?oyo naomba namba yako au nichek na yangu 0653591997
Nunua tv yenye king'amuzi local channel zote unapata freeKwa wale wenye DSTV naona inafaa sana....manake zile local channels zinazo kosekana kwenye DSTV zinapatikana huku.