Kwa budget isiyozidi 600k kwa sasa ni simu gani inafaa zaidi

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Habari wadau..

Kama kichwa kinavyojieleza, tuajua technology inakwenda kasi na mambo yanabadilika sana. So ningependa kujua kwa range ya budget hiyo simu gani nzuri naweza nikapata maana nataka kununua simu soon.

Asante.
 
Ukiagiza Alibaba Kuna store moja nilichukua 650k.wasafirishaji wanachaji 20usd
Ila store nyingi wanauza laki 8.Yangu ipo njiani after 2weeks nitakucheki
Kama bajeti yako ni 600k bc chukua redmi note 10 pro agiza Ila kwa bongo 700k
 
Hii ni apa kwa storage ya 64 gb hapo bado makato ya mpesa master card asilimia nne ya hio pesa
IMG_20210516_130937.jpg
 
Ukiagiza Alibaba Kuna store moja nilichukua 650k.wasafirishaji wanachaji 20usd
Ila store nyingi wanauza laki 8.Yangu ipo njiani after 2weeks nitakucheki
Jiandae kwa makadirio makubwa ya tra. Ukikaa vibaya hiyo simu utaiacha hapo posta.
 
Jiandae kwa makadirio makubwa ya tra. Ukikaa vibaya hiyo simu utaiacha hapo posta.
Wacha kupotosha. Makadirio ya TRA yapo very open na unaweza kwenda pale Posta ukauliza na kufanyiwa makadirio kabla hata hujaagiza kitu. Tatizo wabongo ujuaji mwingii
 
Habari wadau..
Kama kichwa kinavyojieleza, tuajua technology inakwenda kasi na mambo yanabadilika sana. So ningependa kujua kwa range ya budget hiyo simu gani nzuri naweza nikapata maana nataka kununua simu soon..
Asante
Nikupe A52 yangu? ina week 3 tangu niinunue (mpya)
 
Back
Top Bottom