Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Professor Mwesiga Baregu aliondolewa kufundisha Chuo kikuu cha Dar es salaam kwa madai kuwa ni Mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA.
Je,hali hii inaasharia nini?
Hii inaashiria chama mbele utendaji baadae
Je,hali hii inaasharia nini?
Sio kweli. Kama hujui uliza. Hatupendi kuona kudanganywa kama watoto.
Professor Mwesiga Baregu aliondolewa kufundisha Chuo kikuu cha Dar es salaam kwa madai kuwa ni Mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA.