Kwa bajeti ya 450k ninunue simu gani kati ya hizi?

Za kitambo, we unadhanip20 ama p30 saa hizi sh ngapi!? Hiyo pixel 4, vipi s10!? Hata iphone x mkononi bei ishapoa saa hizi.. Mfano akiitafuta huawei honor hakosi kwa bei hiyo na chenji inabaki.
Mimi binafsi napendaga kubikiri simu mpya lakini kununua simu ya miaka minne iliyopita eti kisa inauzwa nusu bei hapana maana usalama wake wa kuendelea kuishi hua ni mdogo alafu nyingi huwa zimebadirishwa vifaa vyake original na kuwekwa fake vya bei nafuu
 
Kibongo bongo ukitaka kukwepa hayo ni uende ukanunue labda kwa dealers kabisa, ika pale mjini kariakoo na maeneo kama hayo, utahisi unanunua mpya kumbe used pia.. Nishakutana na simu kama mbili za wadada kaleta nimrekebishie nakuta tayari kuna akaunti ya mtu kwenye mtandao wa kijamii.
 
Kupata "flagship" kwa 450k sijui wapi, hapo unapata low/midrange phones tu.
Simu nilizozitaja hapo ni low ama midrange!? S10+ sio flagship mzee!? P series kwa huawei je!? Iphone x je!? Vipi Google pixel 3 na 4!?
 
Kati ya Hizo mbili infinix ipo vizuri zaidi, sema kwenye price point hio Tafuta Redmi note 11 ni simu nzuri zaidi.

Kama ni Mpenzi wa samsung unapata Samsung galaxy A22 ambayo pia ni nzuri kushinda zote 2 hapo juu.
hvi mzee ukipewa option ya kuwa na simu 2 tu kwa vigezo vya best all rounder phones hasa upande wa camera na charge kwa chini ya 700k kila simu utachukua zipi?? mpya ama used.
 
Simu nilizozitaja hapo ni low ama midrange!? S10+ sio flagship mzee!? P series kwa huawei je!? Iphone x je!? Vipi Google pixel 3 na 4!?
Flagship kwa wakati wake, ila kwa sasa huwezi kuiita s10 flagship. Ndio maana phone analyst wanasema don't abandon s10+ just coz it's a 2019 l flagship, leo sio flagship tena coz technology haimsubiri mtu mzee.
 
Tafuta samsung yoyote itakayokuwa ndani ya hio bajeti yako halafu uje utushukuru badae.
 
hvi mzee ukipewa option ya kuwa na simu 2 tu kwa vigezo vya best all rounder phones hasa upande wa camera na charge kwa chini ya 700k kila simu utachukua zipi?? mpya ama used.
Mkuu kwa Camera midrange haziwezi kushindana na Flagship, flagship ya 2020 kama OP 8 ina camera nzuri kuliko midrange za sasa.

Labda tu utafute camera nzuri within midrange. Nasubiria Review ya Samsung Galaxy A33 ila i hope itakuwa midrange nzuri kwetu. (lakini haina port ya Earphone)
 
Flagship kwa wakati wake, ila kwa sasa huwezi kuiita s10 flagship. Ndio maana phone analyst wanasema don't abandon s10+ just coz it's a 2019 l flagship, leo sio flagship tena coz technology haimsubiri mtu mzee.
Tumeshindwa kuelewana kitu kidogo saana, basi mkuu tuachie hapo. Ila nissan patrol ya 2010 haiwezi kuzidiwa na ist ya 2022.
 
Ninatumia Samasung A22 na nimeinunua kama wiki 3. Nimeinunua kwa 450k.
Ni simu nzuri sana na iko smooth. 90hz refresh rate, super amoled displace yaani kioo chake ni poa sana, One UI ni software nzuri sana kuliko hizi mi12.., inatoa picha nzuri hasa kwenye mwanga. Yaani mambo mengi ambayo utayapenda kuliko hizo infinix
Ooh sawa Mkuu, but tayari jana nimechukua Note 11, baada ya kufanya window shopping kwenye maduka makubwa kama 10 hivi nilipo, A22 inaanzia 550-650k.
 
Kwa bajeti hiyo hupati Google pixel 4 kweli, huwa zinachukuliwa poa ila ndio simu bora kwangu kwa simu za android, jaribu kucheki na flagships za sony ama huawei hutajuta.
Ahsante Mkuu, tayari nimechukua Note 11
 
Mkuu kwa Camera midrange haziwezi kushindana na Flagship, flagship ya 2020 kama OP 8 ina camera nzuri kuliko midrange za sasa.

Labda tu utafute camera nzuri within midrange. Nasubiria Review ya Samsung Galaxy A33 ila i hope itakuwa midrange nzuri kwetu. (lakini haina port ya Earphone)
Nje ya topic chief...nashindwa kuaccess internet kwa pc yangu. Naambiwa sjui ni DNS problem. Nataka kuupdate pc nashndwa mana hotspot ipo conmected bt spat internet. Na browser zote hazfany kaz zime expire. Msaadaaaa plz
 
Hauna firefox? Nayo pia inakataa?
 
Ninayo ila Inakataa pia
Pia sometime wifi inazingua, umejaribu kutumia usb tethering? Nenda setting kisha connection kisha hotspot pale pale unapowasha hotspot ya wifi utaona option ya usb tethering angalia kama itasaidia.
 
Ngoja nijaribu
 
Bro, nachoweza kukushauri ni uwe nn unanunua flagship zizopitwa na wakati, ni bora kuliko midrangers za mda huu
Angalia ata note8, au samsung s9 uko unaweza pata tam zaidi, anyways nn labda kwasababu sijui sana hizo midrangers
 
Hello: Nina 450k nataka kununua simu nzuri kulingana na bajeti hii. Je, kati ya:

1. Infinix Note 10 (RAM: 4GB, ROM: 128GB, Bettry capacity: 5000 mAh, Android 11, size 6.95 inches, IPS LCD Display, Helio G85 Chipset, Triple Rear and 16MP Selfie Camera) Au

2. Oppo A31. (RAM: 4GB, ROM: 128GB, Bettry: 4230 mAh, Display: IPS LCD, 6.5 inches, Camera: triple 12MP, 2MP, 2MP.
OS: Android 9.0).

Nichukue simu ipi?, je aina gani nyingine ya simu zenye specifications kama hizi 2 naweza kununua kwa bajeti isiyozidi 450k ?

Nawasilisha.
Kama ni kijana wa chini ya 30yrs,na hiyo cm sio hitaji ni takwa tu(it's a want not a need),hiyo pesa kanunue kiwanja dodoma vipo mpaka vya 700K,
 
Hello: Nina 450k nataka kununua simu nzuri kulingana na bajeti hii. Je, kati ya:

1. Infinix Note 10 (RAM: 4GB, ROM: 128GB, Bettry capacity: 5000 mAh, Android 11, size 6.95 inches, IPS LCD Display, Helio G85 Chipset, Triple Rear and 16MP Selfie Camera) Au

2. Oppo A31. (RAM: 4GB, ROM: 128GB, Bettry: 4230 mAh, Display: IPS LCD, 6.5 inches, Camera: triple 12MP, 2MP, 2MP.
OS: Android 9.0).

Nichukue simu ipi?, je aina gani nyingine ya simu zenye specifications kama hizi 2 naweza kununua kwa bajeti isiyozidi 450k ?

Nawasilisha.
Kama uko Dar nipe 320000 nikupe infinix hot 11,RAM 4,ROM 128,Battery 6000 mah,android 11. Ina miezi minne,nina shida ya hela ya haraka. Box na risit vipo.nakutumia namba inbox kwa mawasiliano.
Screenshot_20220503-173152.jpg
 
Back
Top Bottom