Kwa bajeti ya 450k ninunue simu gani kati ya hizi?

Kwa bajeti ya 450k ninunue simu gani kati ya hizi?

Yeah, a12 4gb na 128gb ni around hapo, 4gb na 64gb unapata kwa 400k.

Nimeingia zoomtz, a22 inaanzia 500k.
450k

470k

Mi kuna mtu juzi tu nimemuuliza Dukani 470K na hujalia lia bado.
 
A12 hamna kitu nashauri achukue infinix note 11 kwa bei hiyo hiyo ni bora zaidi kuliko hata hiyo infinix note 10
Au siyo Mkuu... But hiyo Infinix Note 11 ina nini cha ziada kuliko A12 na note 10 kama specifications ni sawa...?
 
Au siyo Mkuu... But hiyo Infinix Note 11 ina nini cha ziada kuliko A12 na note 10 kama specifications ni sawa...?
Note 11 chip helio g88
Note 10 chip helio g85
A12 chip helio p35

Note 11 AMOLED 1080/2400
Note 10 IPS LCD 1080/2460
A12 IPS LCD 720/1600

Nimechoka kuandika ila note 11 iko juu kwa kila kitu kuliko hizo unaweza google kwa uhakika zaidi
 
Zaidi ya amoled display ya note 11, hakuna tofauti nyingi tangible kati ya note 11 na a12. Zote zinatumia chips chipset za mediatek helio. Na zote ni mid/lower range phones.
Sawa Mkuu. Mekupata vizuri hiyo
 
Note 11 chip helio g88
Note 10 chip helio g85
A12 chip helio p35

Note 11 AMOLED 1080/2400
Note 10 IPS LCD 1080/2460
A12 IPS LCD 720/1600

Nimechoka kuandika ila note 11 iko juu kwa kila kitu kuliko hizo unaweza google kwa uhakika zaidi
Ooh ahsante kwa ufafanuzi zaidi Mkuu
 
450k

470k

Mi kuna mtu juzi tu nimemuuliza Dukani 470K na hujalia lia bado.
Sawa sawa!!!
 
Hello: Nina 450k nataka kununua simu nzuri kulingana na bajeti hii. Je, kati ya:

1. Infinix Note 10 (RAM: 4GB, ROM: 128GB, Bettry capacity: 5000 mAh, Android 11, size 6.95 inches, IPS LCD Display, Helio G85 Chipset, Triple Rear and 16MP Selfie Camera) Au

2. Oppo A31. (RAM: 4GB, ROM: 128GB, Bettry: 4230 mAh, Display: IPS LCD, 6.5 inches, Camera: triple 12MP, 2MP, 2MP.
OS: Android 9.0).

Nichukue simu ipi?, je aina gani nyingine ya simu zenye specifications kama hizi 2 naweza kununua kwa bajeti isiyozidi 450k ?

Nawasilisha.
Wakuu!!!
Kwa namna ya pekee kabisa, natumia fursa hii kuwashukuru wote mlio changia katika kunipa ushauri kuhusu kununua simu nzuri kulingana na bajeti niliyokuwa nayo.

Nimefanikiwa kuchukua Infinix Note 11 (4GB RAM & 128GB ROM) kwa TZS 450k. Ahsanteni sana, Mungu azidi kuwabariki kila iitwapo Leo...

Pa12po...
 
Unaweza kupata a22 kwa 450,000? Kuna sehem niliiona nikaipenda, ila niliambiwa 550,000 tena 64gb na haipungui. Na mimi sinunui simu zaidi ya 500k asee!
Ninatumia Samasung A22 na nimeinunua kama wiki 3. Nimeinunua kwa 450k.
Ni simu nzuri sana na iko smooth. 90hz refresh rate, super amoled displace yaani kioo chake ni poa sana, One UI ni software nzuri sana kuliko hizi mi12.., inatoa picha nzuri hasa kwenye mwanga. Yaani mambo mengi ambayo utayapenda kuliko hizo infinix
 
Yeah, kasimu kazuri sana. Na bei pia sio mbaya.
 
Za kitambo, we unadhanip20 ama p30 saa hizi sh ngapi!? Hiyo pixel 4, vipi s10!? Hata iphone x mkononi bei ishapoa saa hizi.. Mfano akiitafuta huawei honor hakosi kwa bei hiyo na chenji inabaki.
Kupata "flagship" kwa 450k sijui wapi, hapo unapata low/midrange phones tu.
 
Back
Top Bottom