Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Duuh...baba alizaa na mama mwingine 3 mama nae alikuwa ana wengine na baba mwingine huko 2 wakaoana wakatuzaa 3
baba akaoa tena huyo mama alikuwa na wawili huko akazaa na baba watatu sasa sijui tupo wangapi hapa
ila hadi tufike naomba Mungu tu wasimnyemelee Stun wangu maana duuuh, wanawake sisi janja sanaNa bora hamjafika tu hiyo meno pozi
bahat mbaya au nzur haiko hivoNa hao wawili kwa baba yako kwa mama zao wana ndugu wengine i am sure
Wanaume watatu tofauti!!!!!!......Sie wawili baba&maa mmoja ila sidhani ka wanangu wataepuka hili manake nna plans za kuzaa na wanaume watatu tofauti
Mimi kwa Baba nane 'wanaojulikana' kwa mama watatu. Ukichukuwa 'Baba Union Mama' (kwa wale wataalamu wa 'Set') unapata tupo ndugu 11 jumlisha na yule aliyeaga dunia jumla 12.
Idadi ya weza kuwa zaidi nikifanya Union 'mama wengineo'.
Binafsi sijawaepusha wanangu kwa hili kwani siku hizi wanawake wengi wanazaa na mimi huku wengineo pia wakitamani na kuomba wapate uzao na mimi.
Jitahidi aseeh... maana kwangu hayo sitegemei yatokeeila hadi tufike naomba Mungu tu wasimnyemelee Stun wangu maana duuuh, wanawake sisi janja sana
tupo wangapi etiDuuh...
Haahhhahhahahahahaha
nimeipenda hii Joanah
baba alizaa na mama mwingine 3 mama nae alikuwa ana wengine na baba mwingine huko 2 wakaoana wakatuzaa 3
baba akaoa tena huyo mama alikuwa na wawili huko akazaa na baba watatu sasa sijui tupo wangapi hapa
Hongera nami nataka kuzaa na weweMimi kwa Baba nane 'wanaojulikana' kwa mama watatu. Ukichukuwa 'Baba Union Mama' (kwa wale wataalamu wa 'Set') unapata tupo ndugu 11 jumlisha na yule aliyeaga dunia jumla 12.
Idadi ya weza kuwa zaidi nikifanya Union 'mama wengineo'.
Binafsi sijawaepusha wanangu kwa hili kwani siku hizi wanawake wengi wanazaa na mimi huku wengineo pia wakitamani na kuomba wapate uzao na mimi.
Kumbe hadi wewe una ndoto hizo eee?Wanaume watatu tofauti!!!!!!......
kwani unafanya majaribio ya bidhaa bora
ndio ndoto zetu lakini wabongo
hapana ila mimi swala la ukewenza mimi nalielewa sana kwangu halina shida maana wote tumelelewa nyumba moja na mama zetu wote bila ubaguzi wala shida yoyote .chakula kinapikwa kimoja na hakuna mtoto aliekuwa na afya mbovu .Usikute na wanao utawapa huu mchanganyiko hivyo hivyo
Natjitahidi sana staki naomba mungu kwenye ndoa yangu yasitokee, manake kelele ukija huku unasikia oooh unawapenda wale sababu warabu,huku nako tunasema baba hutujali wale wanapotaka kitu sawa sisi no,yasi ilikua tafran tupu..Hii ndo typical african family
angalau nyinyi kuna ndoa kabisa