Kwa anayewafahamu wanawake wa kimakonde

Kwa anayewafahamu wanawake wa kimakonde

Natakaniowe msichana nimakonde mwenye kujua Tabia Zao pls anijuze kabla cjachukua mahamuzi ya kufanya hivo nategemea toka kwenu ndugu zangu
Kwani za huyo unayetaka kumuoa haujaridhika nazo mpaka utake za kabila lote?
 
I thinks it's very very weird to be a tribalist in this era...watu tumeshachangamana sana,na kuchukua tabia tofauti tofauti..myb uyo binti awe mkazi wa huko kijijini
 
Back
Top Bottom