Kwa anayeuza gari

Kwa anayeuza gari

Allency

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
16,261
Reaction score
16,239
Hi, mim ni mwajiriwa kampuni binafsi, nataka nunua gari dgo kama vits na starlet, badget yangu haizid milion 6, ila ntangulize 1.5m then nitoe laki 5 kila mwezi mpaka deni liishe. Kwa aliye tayari na mpango huu ani pm tuelewane. Hata kama documents ,zote za gari atabaki nazo
 
Kuna aliyekopeshwa kwa mtindo huo?
 
Hi, mim ni mwajiriwa kampuni binafsi, nataka nunua gari dgo kama vits na starlet, badget yangu haizid milion 6, ila ntangulize 1.5m then nitoe laki 5 kila mwezi mpaka deni liishe. Kwa aliye tayari na mpango huu ani pm tuelewane. Hata kama documents ,zote za gari atabaki nazo

Kwa mpango huo sidhani kama utaweza kupata hiyo gari kwa bei hiyo. Lazima itazidi 6M!
 
Bado nahitaji gari wadau, natanguliza milioni mbili, nyingine natoa laki sita kila mwezi
 
nenda show room

for sale 4.5 milion cash ...call 0684885441 or 0714604974
4 glanza1.jpg
 
Sasa si umpigie uongee nae?

Nenda kwa loan sharks ila watakunyoosha. Bora ujipange tu. Hizo 2M nunua dola uweke uvunguni. Zikifika kiasi unanjnua ndinga yako. Usiwe na pupa
Kaka cash mpaka sasa nina 2m, nyingine naweza lipa kila mwezi laki sita mpka deni liishe . Tafadhali kama uko tayari ni pm kwa maelezo zaidi
 
Sasa si umpigie uongee nae?

Nenda kwa loan sharks ila watakunyoosha. Bora ujipange tu. Hizo 2M nunua dola uweke uvunguni. Zikifika kiasi unanjnua ndinga yako. Usiwe na pupa

Thanks , nkishindwa kwa mpango huu I will try yours, siendi kwa loan sharks kamwe, nipe ushuri mwingine kaka
 
Hakuna sehemu yoyote Unaweza pata gari kwa mtindo huo, labda gari hiyo iwe spana mkononi aka mkweche
 
Mim naamini naweza pata gari zuri na sio mkweche
 
Hi, mim ni mwajiriwa kampuni binafsi, nataka nunua gari dgo kama vits na starlet, badget yangu haizid milion 6, ila ntangulize 1.5m then nitoe laki 5 kila mwezi mpaka deni liishe. Kwa aliye tayari na mpango huu ani pm tuelewane. Hata kama documents ,zote za gari atabaki nazo

...haraka ya nini ,kusanya kwanza hizo laki sita sita zako ndo ununue gari,mikopo ya hivo utaingia cha kike jombaaa...
 
Thanks Gefu, ishu ni kuwa nlikuwa natumia pikipk na sasa imeharibika, hivyo napata tabu sna kwenda kazini, thats y nina haraka ya usafiri. hope umenisoma jombaa
 
Kwanini usinunue kiwanja na hizo 2m sasa hivi, then uendelee kukusanya hizo laki6 kla mwezi, mwaka1 ukiisha unaweza kuuza kile kiwanja na kitakuwa kimepanda bei, then utanunua gari nzuri tuu. Sasa unataka kununua gari ya mkopo then pesa ya kuweka mafuta utatoa wapi?je likiharibika?vijana kwanini mnapenda sana cost centre badala ya revenue centre???
Kaka cash mpaka sasa nina 2m, nyingine naweza lipa kila mwezi laki sita mpka deni liishe . Tafadhali kama uko tayari ni pm kwa maelezo zaidi
 
fanya mipango ya kujenga nyumba yako ili uondokane na mambo ya kupanga, GARI YANINI? unaongeza gharama tu.
 
Back
Top Bottom