Kwa anayeuza gari

Kwa anayeuza gari

Thanks Gefu, ishu ni kuwa nlikuwa natumia pikipk na sasa imeharibika, hivyo napata tabu sna kwenda kazini, thats y nina haraka ya usafiri. hope umenisoma jombaa

Millioni mbili hizo pikipiki mpya hupati?
 
kwa stail anavyotaka kununua gari, nyumba atakuwa hana

nyumba na gari vyote mipango tu, all in all it depends on someonez scale of preference
 
Back
Top Bottom