Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,601
- 4,087
MwanahelaAnaitwa NANI
WAKUU,
HUYU DADA ANAYESOMA TAARIFA YA HABARI STAR TV USIKU HUU ANAITWA NANI HUYU??
VIPI AMESHAOLEWA HUYU??
-------
NIPENI JINA LAKE NA IKIWEZEKANA MAWASILIANO YAKE FASTA.
LOOKS
SO MAGNIFICENT,
SO MATERIAL!!!
...tulia wewe!..hata huyo anaemuulizia ni baba wa rafiki zangu!;We huyo ni mama wa rafik yanguuuuu!!!! Ngoja nimwambie aje atukane matusi Hapa
Kwani kachomeka wapiUkipata namb yake niforwardie make najua ww huchomoi mkuu..............
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
Naomba kuambiwa sababu ya watu kuacha hizo sticker iliyobandikwa upande wa kushoto wa TV.
WAKUU,
HUYU DADA ANAYESOMA TAARIFA YA HABARI STAR TV USIKU HUU ANAITWA NANI HUYU??
VIPI AMESHAOLEWA HUYU??
-------
NIPENI JINA LAKE NA IKIWEZEKANA MAWASILIANO YAKE FASTA.
LOOKS
SO MAGNIFICENT,
SO MATERIAL!!!
View attachment 434753 View attachment 434754
Ndio maana kila mtu anakwake sasa wewe tumia yakoNaomba kuambiwa sababu ya watu kuacha hizo stocker iliyobandikwa upande wa kushoto wa TV.
Maana nishaona waty wengu uwa wanaiacha wakati mimi naoba kama inaziba kioo to some extenr.
Hivi umeelewa swali langu au umekurupuka?Ndio maana kila mtu anakwake sasa wewe tumia yako
Hiyo sticker ni nzuri ikitoka yenyewe ukiitia wewe inaacha uchafu wa gundi kwenye kiooNaomba kuambiwa sababu ya watu kuacha hizo sticker iliyobandikwa upande wa kushoto wa TV.
Maana nishaona watu wengi uwa wanaiacha wakati mimi naoba kama inaziba kioo to some extent.
Ok asante mkuu kwa maelezo yako, maana uwa najiuliza sana hili swali.Hiyo sticker ni nzuri ikitoka yenyewe ukiitia wewe inaacha uchafu wa gundi kwenye kioo
Mwulize mleta mada! Unatuuliza sisi? Kama ni Msukuma utajuaje?Hiyo sticker ni nzuri ikitoka yenyewe ukiitia wewe inaacha uchafu wa gundi kwenye kioo
Lazima atakuwa na hela huyo.Mwanahela
...tulia wewe!..hata huyo anaemuulizia ni baba wa rafiki zangu!;
ushamba, hazina issue yoyote, zinakufanya utazame tv yako kama vile umeiiba, maana utakuwa unaichungulia, kwani mastika mengine ni makubwaNaomba kuambiwa sababu ya watu kuacha hizo sticker iliyobandikwa upande wa kushoto wa TV.
Maana nishaona watu wengi uwa wanaiacha wakati mimi naoba kama inaziba kioo to some extent.