Kwa anayeifahamu VW BORA

CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,420
Likes
255
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,420 255 0
TCleverly katika hizo MB na BMW unamshauri anunue ipi (same class and price range na BORA)?
 
Last edited by a moderator:
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,927
Likes
48
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,927 48 0
Kama unaongelea ufahari uko sahihi!
hivi ni idara gani unaweza kuifananisha VW na BMW???au VW vs M-BENZ???au VW vs AUDI
unaweza kuilinganisha passat na 5 series au passat na e-class??au passat na a6???

sio ufahari tu,kila idara inatolewa kwenye hizo BIG THREE.......VW ni average car
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,927
Likes
48
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,927 48 0
TCleverly katika hizo MB na BMW unamshauri anunue ipi (same class and price range na BORA)?
nikisema class maana yake ni saloon,suv etc.....not necessarily same price.....i hope tunazungumzia used hapa ambazo unaweza kushangaa bmw/mb ikawa cheaper kuliko VW....NINGEMSHAURI ANUNUE BMW 3 SERIES[318 AU 320]
 
STREET SMART

STREET SMART

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
701
Likes
217
Points
60
STREET SMART

STREET SMART

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
701 217 60
hapo hamna hata moja ilio nzuri kwa mazingira ya tanzania....lakini zinaendesheka, zina challenge kubwa ya spare ambazo itabidi uagize UK[wengine wanaagiza NAIROBI,mimi siamini spare za NAIROBI] na ambako bei ni nafuu sana ila kiukweli kitu kikiharibika ukireplace unasahau....USHAURI WA BURE,UKIWA NA BMW/BENZ/AUDI/VW JITAHIDI UWE NA GARI MOJA/MBILI YA KIJAPAN,JUST IN CASE UNASUBIRIA SPARE FOR A WEEK OR TWO WEEKS,UNAKUWA NA GARI YA KUZUGIA....
Hizo habari za kuagiza spea nairobi mbona zishapitwa na wakati, nanunua spea za Golf 4 hapa hapa bongo, spea halisi na nikifunga nasahau kabisa. I LOVE MY GOLF GTI.
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,927
Likes
48
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,927 48 0
Hizo habari za kuagiza spea nairobi mbona zishapitwa na wakati, nanunua spea za Golf 4 hapa hapa bongo, spea halisi na nikifunga nasahau kabisa. I LOVE MY GOLF GTI.
heri yako.....mimi bado naagiza[sio nairobi] na ndio nakuwa na amani...btw sina VW
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,420
Likes
255
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,420 255 0
nikisema class maana yake ni saloon,suv etc.....not necessarily same price.....i hope tunazungumzia used hapa ambazo unaweza kushangaa bmw/mb ikawa cheaper kuliko VW....NINGEMSHAURI ANUNUE BMW 3 SERIES[318 AU 320]
Hiyo ni tafsiri yako mpya!
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,420
Likes
255
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,420 255 0
hivi ni idara gani unaweza kuifananisha VW na BMW???au VW vs M-BENZ???au VW vs AUDI
unaweza kuilinganisha passat na 5 series au passat na e-class??au passat na a6???

sio ufahari tu,kila idara inatolewa kwenye hizo BIG THREE.......VW ni average car
Naafikiana na wewe, sidhani kama mnunuzi anahitaji gari la kifahari, watanzania wa kawaida tunaendesha average cars, sasa kama wewe ulikuwa unaiweka VW na kuilinganisha na magari ya kifahari hilo ni tatizo lingine! VW toka mwanzo ni "gari la watu" kwa maana watu wa kawaida, na ni gari irahisi kurun na kumaintain toka enzi za Beetle
 
STREET SMART

STREET SMART

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
701
Likes
217
Points
60
STREET SMART

STREET SMART

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
701 217 60
heri yako.....mimi bado naagiza[sio nairobi] na ndio nakuwa na amani...btw sina VW
Kabla sijanunua nilitishwa na stori kama zako za spea hakuna, mafundi hawazijui blah blah blah..... Miaka mitatu now na drive GTI sijutii kuinunua. By the way ebu chunguza barabarani sikuizi uone VW zilivyojaa.
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,927
Likes
48
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,927 48 0
Kabla sijanunua nilitishwa na stori kama zako za spea hakuna, mafundi hawazijui blah blah blah..... Miaka mitatu now na drive GTI sijutii kuinunua. By the way ebu chunguza barabarani sikuizi uone VW zilivyojaa.
usiniwekee maneno...kuna sehemu nimesema kwamba VW hazina spea??sina interest na VW coz nazijua vizuri from europe wewe unaongelea miaka 3 iliopita tena mark 4....!!nilichosema ni kuwa vw ni average car ukilinganisha na bmw/m-benz na audi na huo ndio ukweli huwezi kupinga...sasa ukichukulia personal coz u drive golf then im sorry,thats a fact,na zimejaa coz ni cheap used from japan
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,927
Likes
48
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,927 48 0
Naafikiana na wewe, sidhani kama mnunuzi anahitaji gari la kifahari, watanzania wa kawaida tunaendesha average cars, sasa kama wewe ulikuwa unaiweka VW na kuilinganisha na magari ya kifahari hilo ni tatizo lingine! VW toka mwanzo ni "gari la watu" kwa maana watu wa kawaida, na ni gari irahisi kurun na kumaintain toka enzi za Beetle
kama ungeelewa hilo tangu mwanzo ingekuwa ni vzr....post zangu nilikuwa nasisitiza....VW KULINGANISHA NA BMW/M-BENZ/AUDI.....sijataja aina nyingine kama PEUGEOT,RENAULT......
 
MmasaiHalisi

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined
Jan 15, 2009
Messages
192
Likes
4
Points
0
MmasaiHalisi

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined Jan 15, 2009
192 4 0
asante sana kwa maoni yenu mimi nahitaji gari ambayo ni durable kwa mazingira ya tanzania kwa kweli toyota nimezichoka
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,927
Likes
48
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,927 48 0
Mkumbushe pia hiyo BIG FOUR inabidi iwe BIG FIVE kasahau Opel :)
wewe ndio ukae kimya kabisa,kwenye gari za Europe u have nothing to tell me,ukiondoa class ya akina ferrari/lambo/porsche 911 the rest nimezichezea sana,i know them inside out.....OPEL au VAUXHALL,najua utakurupuka hio ni gari moja[OPEL zipo italy,german etc kwa UK ni VAUXHALL].....hizo ndio rubbish kabisaaaaaa.......VW ni gari ya maana mara 1000 ya OPEL

CORSA,VECTRA,ZAFIRA,ASTRA,OMEGA,FRONTERA,CAVALIER,CALIBRA etc hizo zote ni OPEL/VAUXHALL....hamna gari hapo
 
Kitope

Kitope

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
237
Likes
16
Points
35
Kitope

Kitope

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
237 16 35
wewe ndio ukae kimya kabisa,kwenye gari za Europe u have nothing to tell me.....OPEL au VAUXHALL,najua utakurupuka hio ni gari moja[OPEL zipo italy,german etc kwa UK ni VAUXHALL].....hizo ndio rubbish kabisaaaaaa.......VW ni gari ya maana mara 1000 ya OPEL

CORSA,VECTRA,ZAFIRA,ASTRA,OMEGA,FRONTERA,CAVALIER,CALIBRA etc hizo zote ni OPEL/VAUXHALL....hamna gari hapo
Asee hongera sana,Kumbe wewe lazima utakuwa mwerevu wa haya mambo. Mi sikuwa najua Opel zipo aina zote hizo. kwani hapa kwetu shamba hata tv za tabu. Ahsante kwa kunijuza ingawaje siwezi kunufaika na lolote kwa elimu ya leo .
Kazi njema. wacha tuendelee kujenga taifa
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,927
Likes
48
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,927 48 0
Asee hongera sana,Kumbe wewe lazima utakuwa mwerevu wa haya mambo. Mi sikuwa najua Opel zipo aina zote hizo. kwani hapa kwetu shamba hata tv za tabu. Ahsante kwa kunijuza ingawaje siwezi kunufaika na lolote kwa elimu ya leo .
Kazi njema. wacha tuendelee kujenga taifa
stop being sarcastic......ulifikiri OPEL ni gari ya maana eeh hio ndio hovyo kabisa.......eti big five pole....hata big ten OPEL haiingii
 
MmasaiHalisi

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined
Jan 15, 2009
Messages
192
Likes
4
Points
0
MmasaiHalisi

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined Jan 15, 2009
192 4 0
ngoja tujiendeshee yeboyebo zetu toyota,ila nasikia spare za audi uk ni bei poa,kazi kwa mfundi wa hapa tz
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,825
Likes
39,605
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,825 39,605 280
Hivi watengenezaji wa baiskeli za Phoenix hawajaanza kutengeneza magari? Maana nasikia hata Ford walikuwa ni watengeneza baiskeli
 
V

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
1,276
Likes
296
Points
180
Age
53
V

viking

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
1,276 296 180
katika BIG FOUR[BMW,M-BENZ,AUDI,VW]......VW ndio gari mbovu,low quality.....kuwa mwangalifu sana
hut
You know nothing about VW cars, better keep you mouth shut instead of writting negative comments for something which you dont know.
 
M

matembele

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2009
Messages
323
Likes
17
Points
35
M

matembele

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2009
323 17 35
Mkuu labda hiyo VW unayozungumzia wewe ni ya homemade ;-) Mimi naendesha VW mwaka wa saba

. leo hii kuna VW inakwenda 29km/liter all after the model choice na ukubwa wa ingine unayotaka. Huwezi kutaka <machinr kubwa kisha upige kelele hizi gari zinanyonya mafuta kwa fujo, hapo tusiongelee uendeshaji wa mtu.

29km/liter???
Ina engine ya Bajaji????
 
Forum statistics

Threads 1,264,111
Members 486,206
Posts 30,173,055