• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Kwa anayeifahamu VW BORA

MmasaiHalisi

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined
Jan 15, 2009
Messages
192
Points
0
MmasaiHalisi

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined Jan 15, 2009
192 0
kwa yoyote ambae amewahi kuitumia hii gari,naomba anijulishe ubora wake,ulaji wa mafuta pia je mafundi wa Tanzania wanaweza kuzitengeneza hizi gari nimetokea kuzipenda sana,kuhusu spare nimefanya utafiti ughaibuni zinapatikana kwa bei nafuu.

Naomba mawazo yenu
 
Zanzibar Spices

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Messages
7,423
Points
2,000
Zanzibar Spices

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2013
7,423 2,000
VW wana matoleo mengi sana.
Sasa na kila toleo lina ubora wake.
Ungeweka picha au specifications za Gari then watu ingekuwa rahisi kukuchangia
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,382
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,382 0
VW wana matoleo mengi sana.
Sasa na kila toleo lina ubora wake.
Ungeweka picha au specifications za Gari then watu ingekuwa rahisi kukuchangia
Kweli, amesema VW BORA tu bila kuwa specific!
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,926
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,926 0
kwa yoyote ambae amewahi kuitumia hii gari,naomba anijulishe ubora wake,ulaji wa mafuta pia je mafundi wa Tanzania wanaweza kuzitengeneza hizi gari nimetokea kuzipenda sana,kuhusu spare nimefanya utafiti ughaibuni zinapatikana kwa bei nafuu.

Naomba mawazo yenu
katika BIG FOUR[BMW,M-BENZ,AUDI,VW]......VW ndio gari mbovu,low quality.....kuwa mwangalifu sana
 
Ngongoseke

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
3,209
Points
1,225
Ngongoseke

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
3,209 1,225
katika BIG FOUR[BMW,M-BENZ,AUDI,VW]......VW ndio gari mbovu,low quality.....kuwa mwangalifu sana
Acha kumdanganya VW wana gari za maana sana tena imara,unazijua Tourang? Hiyo BORA sio nzuri lakini sikama vw zote ni mbovu sio kweli
 
MmasaiHalisi

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined
Jan 15, 2009
Messages
192
Points
0
MmasaiHalisi

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined Jan 15, 2009
192 0
Ni kama hiyo hapo kwenye picha ndio ninayoitaka,nilikuwa nataka nijue ubora wake
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,926
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,926 0
Acha kumdanganya VW wana gari za maana sana tena imara,unazijua Tourang? Hiyo BORA sio nzuri lakini sikama vw zote ni mbovu sio kweli
soma post yangu kwa umakini,usikurupuke....nimesema among GERMANS BIG FOUR[BMW,M-BENZ,AUDI,VW] VW ndio mbovu huo ndio ukweli......huwezi kufananisha VW na BMW wala M-BENZ,wala AUDI.......BTW TOURANG SIZIJUI,imetoka lini hii Model???
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,382
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,382 0
Acha kumdanganya VW wana gari za maana sana tena imara,unazijua Tourang? Hiyo BORA sio nzuri lakini sikama vw zote ni mbovu sio kweli
You mean Toureg? One mean mashine! Huyo anayesema VW mbovu sijui amekurupukia wapi!!
 
Kitope

Kitope

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
236
Points
195
Kitope

Kitope

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
236 195
katika BIG FOUR[BMW,M-BENZ,AUDI,VW]......VW ndio gari mbovu,low quality.....kuwa mwangalifu sana
Mkuu labda hiyo VW unayozungumzia wewe ni ya homemade ;-) Mimi naendesha VW mwaka wa saba sasa, nabadilisha model kwa model na hazijanisumbua hata mara moja. Kuna wengi wananunua magari kisha Service ni pale gari inapogoma kuwaka!! Kwa mtindo huo leo hii gari ya aina yoyote ile haina ubora. Gari inataka Service either kwa kilometer ama muda na sio kuendesha tu mpaka ligome. Na pia huwezi kusema kama zinakula mafuta ama La. kwa sababu kuna version za kila class. leo hii kuna VW inakwenda 29km/liter all after the model choice na ukubwa wa ingine unayotaka. Huwezi kutaka <machinr kubwa kisha upige kelele hizi gari zinanyonya mafuta kwa fujo, hapo tusiongelee uendeshaji wa mtu.
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,926
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,926 0
Mkuu labda hiyo VW unayozungumzia wewe ni ya homemade ;-) Mimi naendesha VW mwaka wa saba sasa, nabadilisha model kwa model na hazijanisumbua hata mara moja. Kuna wengi wananunua magari kisha Service ni pale gari inapogoma kuwaka!! Kwa mtindo huo leo hii gari ya aina yoyote ile haina ubora. Gari inataka Service either kwa kilometer ama muda na sio kuendesha tu mpaka ligome. Na pia huwezi kusema kama zinakula mafuta ama La. kwa sababu kuna version za kila class. leo hii kuna VW inakwenda 29km/liter all after the model choice na ukubwa wa ingine unayotaka. Huwezi kutaka <machinr kubwa kisha upige kelele hizi gari zinanyonya mafuta kwa fujo, hapo tusiongelee uendeshaji wa mtu.
ukilinganisha VW na AUDI/M-BENZ/BMW......VW NI MBOVU,LOW QUALITY....samahani kwa mnaoendesha VW ila hapa nalinganisha na BIG BOYS.....BMW/AUDI/M-BENZ.....hata mimi nimeendesha VW kwahio naongea na experience yangu ya VW nikilinganisha na BMW/M-BENZ na AUDI.....kama unalinganisha na some toyotas sawa lakini ukilinganisha na OTHER GERMANS MACHINES VW NI YA MWISHO......
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,926
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,926 0
You mean Toureg? One mean mashine! Huyo anayesema VW mbovu sijui amekurupukia wapi!!
VW ni gari ya kawaida sana....kulinganisha na BMW/M-BENZ/AUDI ni mbovu tu...
 
EWGM's

EWGM's

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Messages
1,526
Points
2,000
EWGM's

EWGM's

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2013
1,526 2,000
ukilinganisha VW na AUDI/M-BENZ/BMW......VW NI MBOVU,LOW QUALITY....samahani kwa mnaoendesha VW ila hapa nalinganisha na BIG BOYS.....BMW/AUDI/M-BENZ.....hata mimi nimeendesha VW kwahio naongea na experience yangu ya VW nikilinganisha na BMW/M-BENZ na AUDI.....kama unalinganisha na some toyotas sawa lakini ukilinganisha na OTHER GERMANS MACHINES VW NI YA MWISHO......

Mkuu bring hard factual evidence to support your argument. Maneno matupu hayavunji mfupa.
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,926
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,926 0
Mkuu bring hard factual evidence to support your argument. Maneno matupu hayavunji mfupa.
nenda online au popote kalinganishe VW unayoitaka na m-benz of the same class.....kalinganishe VW unayoitaka na BMW ya same class....do the same kwenye AUDI.......siwezi kukutafunia....VW ukilinganisha na BMW/M-BENZ/AUDI ni mbovu tu
prove me wrong.....
 
MmasaiHalisi

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined
Jan 15, 2009
Messages
192
Points
0
MmasaiHalisi

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined Jan 15, 2009
192 0
sasa mbona mnanichanganya je hiyo VW Bora ni mbovu,na je gari za VW ipi ni nzuri kwa matumizi ya huku kwetu Tanzania,pia hiyo Audi hapa Tanzania spare ziko
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,926
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,926 0
sasa mbona mnanichanganya je hiyo VW Bora ni mbovu,na je gari za VW ipi ni nzuri kwa matumizi ya huku kwetu Tanzania,pia hiyo Audi hapa Tanzania spare ziko
nakushauri usinunue VW BORA....tafuta gari ingine...kama unapenda sana VW nunua lakini VW BORA ni sawa na GOLF tu body ndio tofauti....ukiweza nunua kuanzia 2008 yenye low mileage not more than 60,000km,ukinunua ya zamani high mileage itakutesa
 
EWGM's

EWGM's

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Messages
1,526
Points
2,000
EWGM's

EWGM's

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2013
1,526 2,000
nenda online au popote kalinganishe VW unayoitaka na m-benz of the same class.....kalinganishe VW unayoitaka na BMW ya same class....do the same kwenye AUDI.......siwezi kukutafunia....VW ukilinganisha na BMW/M-BENZ/AUDI ni mbovu tu
prove me wrong.....
Mkuu niliposoma huu uzi niliona mnatupiana maneno matupu, lakini kwa kuwa wewe ulikuwa tofauti na wengine hivyo ili kumaliza debate yenu ndiyo maana nikakwambia waletee hard factual evidence to support your argument. Naona hukuelewa comment yangu
 
MmasaiHalisi

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined
Jan 15, 2009
Messages
192
Points
0
MmasaiHalisi

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined Jan 15, 2009
192 0
asante T cleverly sasa kati ya BMW na AUDI ipi nzuri kwa mazingira ya Tanzania,
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,926
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,926 0
asante T cleverly sasa kati ya BMW na AUDI ipi nzuri kwa mazingira ya Tanzania,
hapo hamna hata moja ilio nzuri kwa mazingira ya tanzania....lakini zinaendesheka, zina challenge kubwa ya spare ambazo itabidi uagize UK[wengine wanaagiza NAIROBI,mimi siamini spare za NAIROBI] na ambako bei ni nafuu sana ila kiukweli kitu kikiharibika ukireplace unasahau....USHAURI WA BURE,UKIWA NA BMW/BENZ/AUDI/VW JITAHIDI UWE NA GARI MOJA/MBILI YA KIJAPAN,JUST IN CASE UNASUBIRIA SPARE FOR A WEEK OR TWO WEEKS,UNAKUWA NA GARI YA KUZUGIA....
 
Forum statistics

Threads 1,405,397
Members 531,983
Posts 34,485,237
Top