Kwa anayehitaji msichana bikra

Kwa anayehitaji msichana bikra

Habari wana Jamii forums.

Ninarafiki yangu wa kike ana miaka 20 ni virgin,anatafuta rafiki wa kiume atakayeanza nae mahusiano na baadae Mungu akipenda wafunge ndoa.

Yeye ni mkristo na angependelea mkristu pia, yupo Msasani-Dar es salaam,ni mwanafunzi wa chuo mwezi wa 9 anaingia mwaka wa pili.

NB: Hayuko tayari kufanya sex kwa sasa labda mpaka Mungu akijalia akampata na taratibu za ndoa zikianza ndo ataweza kushiriki tendo hilo, kwa aliyetayari nitampa namba yake.

Asanteni
Misimamo mingine ya Dini ya ajabu,yaani taratibu za ndoa zikianza tuu anatoa uroda,hajui kuwa kuna watu wamefanyiwa na send off wakaachwa kwenye mataa
 
Nina was was na yeye kuwa Mijino frem, mimeno biashara ila
Mzigo mzito mpe msukuma , emb nisukumie huo mzigo # heavensentious
 
mwambie anitafute no 0713810128 mm mwenyewe nipo dar na nipo chuo na awe serious kwa anachoongea.
 
Habari wana Jamii forums.

Ninarafiki yangu wa kike ana miaka 20 ni virgin,anatafuta rafiki wa kiume atakayeanza nae mahusiano na baadae Mungu akipenda wafunge ndoa.

Yeye ni mkristo na angependelea mkristu pia, yupo Msasani-Dar es salaam,ni mwanafunzi wa chuo mwezi wa 9 anaingia mwaka wa pili.

NB: Hayuko tayari kufanya sex kwa sasa labda mpaka Mungu akijalia akampata na taratibu za ndoa zikianza ndo ataweza kushiriki tendo hilo, kwa aliyetayari nitampa namba yake.

Asanteni

Nipasie tenda mimi pia ni bikra tutavumiliana mengne tutajuana zaid pm
 
Habari wana Jamii forums.

Ninarafiki yangu wa kike ana miaka 20 ni virgin,anatafuta rafiki wa kiume atakayeanza nae mahusiano na baadae Mungu akipenda wafunge ndoa.

Yeye ni mkristo na angependelea mkristu pia, yupo Msasani-Dar es salaam,ni mwanafunzi wa chuo mwezi wa 9 anaingia mwaka wa pili.

NB: Hayuko tayari kufanya sex kwa sasa labda mpaka Mungu akijalia akampata na taratibu za ndoa zikianza ndo ataweza kushiriki tendo hilo, kwa aliyetayari nitampa namba yake.

Asanteni

We mleta mada jinsia yako tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom