heavensentious
Member
- Mar 1, 2015
- 43
- 41
Habari wana Jamii forums.
Ninarafiki yangu wa kike ana miaka 20 ni virgin,anatafuta rafiki wa kiume atakayeanza nae mahusiano na baadae Mungu akipenda wafunge ndoa.
Yeye ni mkristo na angependelea mkristu pia, yupo Msasani-Dar es salaam,ni mwanafunzi wa chuo mwezi wa 9 anaingia mwaka wa pili.
NB: Hayuko tayari kufanya sex kwa sasa labda mpaka Mungu akijalia akampata na taratibu za ndoa zikianza ndo ataweza kushiriki tendo hilo, kwa aliyetayari nitampa namba yake.
Asanteni