Kwa anayehitaji kuniona...nitakuwa hapa trh 23 Juni

stellahthatcher

Senior Member
Oct 14, 2015
168
164
Habari za leo,

Kwa wote ambao wangependa tu hang out nawakaribisha katika tukio hili litakalofanyika tarehe 23 Juni 2017 katika Hotel ya Landamark Ubungo. Wale wanafunzi wanapenda kufahamu kuhusu afya ya uzazi mnakaribishwa sana.

Wale marafiki zangu wa kike na kiume tukutane hapo. Kwa taarifa zaidi cheki hapa Trust - Dar es Salaam Offers na Trust - Dar es Salaam Offers

Ipan-Dinner-Party-.png
 
Back
Top Bottom