Kwa anayehitaji Cement kwa bei nzuri tuwasiliane haraka

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,108
2,000
Salam,
Wadau kama kuna mtu / watu au kikundi kina hitaji cement (Twiga) tunaweza kuwasiliana na kufanya biashara nzuri tu.Ikizingatia kuwa siku hzi cement imekuwa ghrama sana madukani , kwa wadau wa ujenzi wanafahamu hilo.

Bei ni ya hali ya mtu (kitanzania i.e pungufu ya ile wanayouza kwenye 'hard ware' nyingi) ili walau tuweze kusaidiana katika suala zima la ujenzi. Chukua hatua kwani Hakika hautajutia uamuzi wako.

Napatikana Dar. Kwa aliye serious na hii kitu , tafadhali anaweza acha namba ya simu au aka ni PM kwa maelezo zaidi (ya bei na transport) . Kwani tunaweza ongea na kuelewana tu, biashara ni lugha tu, hivyo usi site.

N.B: Sihitaji dalali kwani mimi mwenyewe ndiye muhusika.
Kama hauna nia (if your not a serious buyer please leave it ) tafadhali usihangaike na uzi huu, kwani kuna watu
wataanza kuleta masihara, dhihaka au utani katika hili jambo , kumbe kuna mtu leo hii anaumiza kichwa ni wapi atapata cement walau kwa bei ya kitanzania/ ya kuridhisha ili naye aweze kamilisha ujenzi wake.
 

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
9,662
2,000
Sijaelewa.
Unauza Cement au unatafuta mtu muungane ili mkanunue kiwandani?
Kama unauza, je unauza kwa bei gani kwa mfuko?
Kama unatafuta mbia wa manunuzi, je matarajio ni kuinunua kiwandani kwa bei gani kwa mfuko?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom