Hapo ndo wanaume huwa tunakosea. yai la mwanamke lina chromozomes XX ikimaanisha girl.girl na yai la mwanamme lina XY ikimaanisha girl.boy. Kama Y iko faster kulipua yai ndo unapata baby boy ila kama iko slow hata ujaribu na wanawake wa kabila zote utatoa baby girl. Sasa kutojua mambo haya utakuta mwanaume anautesa moyo wa mkewe eti hazai midume .Du! Minao kwa Mke wang nimezaa wapo wanne ila mizao miwili tukashauriwa tusizae tena maana hatuna mtoto Wa kiume, sasa basi nikajaribu mchepuko kwa lengo LA kupata bingwa LA kiume matokeo yake yakawa yaleyale wakatoka Mapacha tena kike usiangaike na hilo uwa ni matokeo ya kubaitisha bahati ya MTU.
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Watu wengine bwana, mna mawazo ya kula/kuliwa tigo tuu kwenye akili zenu,zile sparm amwagie kwa tigo kule ndo huwa wana patikana mapacha
Nataka nikipata mimba iwe ya mapacha , je kunamtu anaejua inatokeaje? Nambieni basi! Ila naomba msnitukane mana mhhj.
Hahahahahaha umetisha.Kienyeji ni bahati tu sababu ubongo huwa unakosea unaligawa ovary mara mbili na ndipo sperms zinazirutubisha hilo yai
Kisayansi kwa dr ndiyo rahisi sana sababu kiutalaama utafanyiwa!
Kama unahitaji mapacha tubahatishe na mm nipo tayari
mara nyingi husema hutokea kwa genes za mke otherwise waone wataalam tuu na salaNdiyo best! Shangazi yangu anao na mdogo wangu pia anao.so namie napenda kweli.
Mapacha huweza kutokea kwa njia mbliNataka nikipata mimba iwe ya mapacha , je kunamtu anaejua inatokeaje? Nambieni basi! Ila naomba msnitukane mana mhhj.
Nataka nikipata mimba iwe ya mapacha , je kunamtu anaejua inatokeaje? Nambieni basi! Ila naomba msnitukane mana mhhj.
Sidhani kama ni ethical kutumia dawa hii ila kwa experience nliyo nayo ni kwamba wanawake wengi ambao wanasumbuliwa na utasa kwa mda mrefu wakija kushika mimba mara nyingi sana inakuwa mapacha. Na hii ni kwa sababu wengi wao hupewa dawa inaitwa clomiphene ambayo huchochea ovary kuachia mayai hivyo mtu kuconceive; sasa inapotumika dawa hii mara nyingi ovary ya kushoto na kulia zote huachia mayai na hivyo husababisha mtu kupata mapacha. Ni vyema ukaongea na daktari kuhusu hilo atakushauri kipi cha kufanya kwa kina zaidi.Nataka nikipata mimba iwe ya mapacha , je kunamtu anaejua inatokeaje? Nambieni basi! Ila naomba msnitukane mana mhhj.
hao umeeleza kuhusu"fraternal twins ". elezea na "identical twins" mkuuInatokea kwa nadra kwa mifuko ya mayai miwili -kushoto na kulia(ovaries) kila mmoja kuachia yai ndani ya mwezi huohuo badala ya kupeana zamu moja iachie mwezi huu nyingine mwezi ujao. Kama unahitaji ya kulazimisha waone matabibu wana madawa ya kulazimisha zote mbili ziachie mayai ila kama kuna madhara utatwambia.
![]()