Kwa anaejua anisaidie

Kwa anaejua anisaidie

Omba mungu n atakusaidia [emoji4][emoji5][emoji5]
 
Nasikia kuna staili ukiitumia uwezekano wa kupata mapacha ni mkubwa.

Mm mwenyewe mda ukifika nawapenda balaa shoga yangu amejifungua wanne hadi raha.

Wajuzi njooni mtufunze hiyo style.
 
Du! Minao kwa Mke wang nimezaa wapo wanne ila mizao miwili tukashauriwa tusizae tena maana hatuna mtoto Wa kiume, sasa basi nikajaribu mchepuko kwa lengo LA kupata bingwa LA kiume matokeo yake yakawa yaleyale wakatoka Mapacha tena kike usiangaike na hilo uwa ni matokeo ya kubaitisha bahati ya MTU.

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Hapo ndo wanaume huwa tunakosea. yai la mwanamke lina chromozomes XX ikimaanisha girl.girl na yai la mwanamme lina XY ikimaanisha girl.boy. Kama Y iko faster kulipua yai ndo unapata baby boy ila kama iko slow hata ujaribu na wanawake wa kabila zote utatoa baby girl. Sasa kutojua mambo haya utakuta mwanaume anautesa moyo wa mkewe eti hazai midume .
Ewe mzazi usiteseke na midume maana ikishaoa mwanamke anavutia kwao na kushawishi kuwasahau ndugu ila ukizaa mademu wanakumbuka kuwajali wazazi kuliko midume.
 
Haihitaji asili tafuta watabibu wa kisayansi na kiasili watakupa ushauri na pia nenda googke search waweza pata msaada
 
Nataka nikipata mimba iwe ya mapacha , je kunamtu anaejua inatokeaje? Nambieni basi! Ila naomba msnitukane mana mhhj.

Kienyeji ni bahati tu sababu ubongo huwa unakosea unaligawa ovary mara mbili na ndipo sperms zinazirutubisha hilo yai
Kisayansi kwa dr ndiyo rahisi sana sababu kiutalaama utafanyiwa!
Kama unahitaji mapacha tubahatishe na mm nipo tayari
 
Kienyeji ni bahati tu sababu ubongo huwa unakosea unaligawa ovary mara mbili na ndipo sperms zinazirutubisha hilo yai
Kisayansi kwa dr ndiyo rahisi sana sababu kiutalaama utafanyiwa!
Kama unahitaji mapacha tubahatishe na mm nipo tayari
Hahahahahaha umetisha.
 
Unaweza kupata maji mengi tu kwa ajili ya kukufurahisha. Lakini hakuna anayejua ufanyeje kupata su kutopata mapacha.
 
Inategemea uwezo wa mbegu za kiume kuswim faster, mbegu zikifika kwenye yai zikiwa mbili zikarutubisha lile yai basi utapata twins wa kufanana. Ila pia km mwez huo mayai yametoka pande zote yakarutubishwa na mbegu basi pia utapata twins. Pia kuna dawa zipo mahosptalin ukienda kwa Doctor anakuandikia kbsa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] some people they are so fun
 
Factors contributing to multiple pregnancies

1.High maternal age
2. Maternal family history of multiple pregnancy
3.Obstetric History of previous multiple pregnancy
4.Good nutrition
5.In vitro fertilization or assisted reproductive therapy.
6.Multiparity
7.Past history of oral contraceptives use

Lakini namba 2 na 3 ndo zaidi ina case of natural ways lakini ya uhakika kabisa ni kufanyiwa in vitro fertilization ambapo fertilization inafanywa kwenye test tubes then vi embryo mapacha vinatumbukizwa kwenye kizazi.
 
Nataka nikipata mimba iwe ya mapacha , je kunamtu anaejua inatokeaje? Nambieni basi! Ila naomba msnitukane mana mhhj.
Mapacha huweza kutokea kwa njia mbli

1.Yai moja la kike kurutubishwa na mbegu moja ya kiume halafu likagawanyika mara mbili tatu au nne na kuendelea hapa ndio tunapata MAPACHA WA KUFANANA.

2.Mayai mwili ya kike kuachiwa kutoka katika mzunguko mmoja na yote kurutubishwa na mbegu mbili tofauti za kiume hapa tunapata MAPACHA WASIOFANANA.

Tafiti zimeonyesha duniani mapacha wasiofanana ni wengi kuliko mapacha wanaofanana.. sababu zinazochangia mapacha kutokea nimeweka pale katika post iliopita.
 
Nataka nikipata mimba iwe ya mapacha , je kunamtu anaejua inatokeaje? Nambieni basi! Ila naomba msnitukane mana mhhj.
Sidhani kama ni ethical kutumia dawa hii ila kwa experience nliyo nayo ni kwamba wanawake wengi ambao wanasumbuliwa na utasa kwa mda mrefu wakija kushika mimba mara nyingi sana inakuwa mapacha. Na hii ni kwa sababu wengi wao hupewa dawa inaitwa clomiphene ambayo huchochea ovary kuachia mayai hivyo mtu kuconceive; sasa inapotumika dawa hii mara nyingi ovary ya kushoto na kulia zote huachia mayai na hivyo husababisha mtu kupata mapacha. Ni vyema ukaongea na daktari kuhusu hilo atakushauri kipi cha kufanya kwa kina zaidi.
 
Inatokea kwa nadra kwa mifuko ya mayai miwili -kushoto na kulia(ovaries) kila mmoja kuachia yai ndani ya mwezi huohuo badala ya kupeana zamu moja iachie mwezi huu nyingine mwezi ujao. Kama unahitaji ya kulazimisha waone matabibu wana madawa ya kulazimisha zote mbili ziachie mayai ila kama kuna madhara utatwambia.

images
hao umeeleza kuhusu"fraternal twins ". elezea na "identical twins" mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom