yajutu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 951
- 1,208
Sio kuona wenzio na wew upende utaweza kuwalea,kulea mapacha sio mchezoNdiyo best! Shangazi yangu anao na mdogo wangu pia anao.so namie napenda kweli.
Sio kuona wenzio na wew upende utaweza kuwalea,kulea mapacha sio mchezoNdiyo best! Shangazi yangu anao na mdogo wangu pia anao.so namie napenda kweli.
AaaahHela yako tu,ukitaka wanne,toa pesa dokta anafanya utaalamu wake unawapata
Njoo nikupe dawa bibi hata ukitaka upate wanne kwa mpigo no problem...Nataka nikipata mimba iwe ya mapacha , je kunamtu anaejua inatokeaje? Nambieni basi! Ila naomba msnitukane mana mhhj.
Ndiyo best! Shangazi yangu anao na mdogo wangu pia anao.so namie napenda kweli.
Aaaah
Dokta mwaka nni huyo ?
Cja wah skia hiko kitu
MmmhHapana,hospital za kawaida
AminaHongera penye nia pana njia utapata tu
sio viazi vitamu ni magimbiWanasema ukila viazi vitamu (sweet potato) kwa wingi, unakuwa na chance kubwa ya kupata mapacha.
Na pia kama kwenye familia au ukoo wenu kuna mtu amezaa pacha, basi unakuwa pia na opportunity kubwa ya kupata pacha..
-stunter-
Acha ubishi, ni vizazi vitamusio viazi vitamu ni magimbi
toba kumbe ndio hivi basi tenaDogo utakula ban,shaurilo
Hio ni mapacha wasiofanana. Wale wanaofanana yai moja likirutubishwa linajigaww mara mbili.Inatokea kwa nadra kwa mifuko ya mayai miwili -kushoto na kulia(ovaries) kila mmoja kuachia yai ndani ya mwezi huohuo badala ya kupeana zamu moja iachie mwezi huu nyingine mwezi ujao. Kama unahitaji ya kulazimisha waone matabibu wana madawa ya kulazimisha zote mbili ziachie mayai ila kama kuna madhara utatwambia.
![]()
asante nami nimenufaika na somoInatokea kwa nadra kwa mifuko ya mayai miwili -kushoto na kulia(ovaries) kila mmoja kuachia yai ndani ya mwezi huohuo badala ya kupeana zamu moja iachie mwezi huu nyingine mwezi ujao. Kama unahitaji ya kulazimisha waone matabibu wana madawa ya kulazimisha zote mbili ziachie mayai ila kama kuna madhara utatwambia.
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Du! Minao kwa Mke wang nimezaa wapo wanne ila mizao miwili tukashauriwa tusizae tena maana hatuna mtoto Wa kiume, sasa basi nikajaribu mchepuko kwa lengo LA kupata bingwa LA kiume matokeo yake yakawa yaleyale wakatoka Mapacha tena kike usiangaike na hilo uwa ni matokeo ya kubaitisha bahati ya MTU.
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Hio ni mapacha wasiofanana. Wale wanaofanana yai moja likirutubishwa linajigaww mara mbili.
toba kumbe ndio hivi basi tena
Na nikila matoborwa kwa wingi ntapata?Wanasema ukila viazi vitamu (sweet potato) kwa wingi, unakuwa na chance kubwa ya kupata mapacha.
Na pia kama kwenye familia au ukoo wenu kuna mtu amezaa pacha, basi unakuwa pia na opportunity kubwa ya kupata pacha..
-stunter-
Ndo madude gani?Na nikila matoborwa kwa wingi ntapata?