Tatizo taarifa ni ya kishabiki na haina jipya. Ndege kuja zitakuja alafu kila MTU anajua nchi ina madeni.kukosa akili ni ugonjwa mbaya sana...Baada ya kulaumu wanaosabisha hasara za kizembe tunalaumu watoa taharifa...
Nani mwenye serikali hasa, mpaka wapinzani wakuambie waharifu au dola inamilikiwa na upinzani.Yaani Upinzani badala ya kututajia walioficha mabilioni uswizi wao wanakuja kutuambia tunadaiwa!!
Loe naona umeuliza swali enye akili...Nimegeuza lakini sijaelewa!
Maji unayotumia kumuoshea mpendwa wako yanatoka kwenye gari ya maji taka, ukimtakatisha kwa maji taka utakuwa na bahati.Tuendelee kufunguka mkuu!Sioni palipoongelewa ndege hapo ...hata picha ya ndege siooni!
Nimegeuza lakini sijaelewa!
Wewe ulikua unajua kua unadaiwa na ndege imekamatwa..?hahahahaha Kipanya kamuona huyo tumbo ni mshamba kuwaita watu na kuwambia kuwa serikali ina daiwa wakati akijua kuwa hakuna mtanzania asiyejua twadaiwa tena hizo alizo zitaja tumbo ni chache sana.....
Halafu kilicho mshangaza Kipanya ni tumbo kufurahishwa kushikwa kwa ndege zetu...ndio maana Kipanya ana mshangaa tumbo
kukosa akili ni ugonjwa mbaya sana...Baada ya kulaumu wanaosabisha hasara za kizembe tunalaumu watoa taharifa...
hahahahaha Kipanya kamuona huyo tumbo ni mshamba kuwaita watu na kuwambia kuwa serikali ina daiwa wakati akijua kuwa hakuna mtanzania asiyejua twadaiwa tena hizo alizo zitaja tumbo ni chache sana.....
Halafu kilicho mshangaza Kipanya ni tumbo kufurahishwa kushikwa kwa ndege zetu...ndio maana Kipanya ana mshangaa tumbo
Umetafsiri vizuri, lakini mwisho unaingiza ujinga wa kiukawa ukawa ! Wapo watu hata humu humu ndani ya nchi waliwahi kuidai serikali na wakashika mali zao ili walipwe. Inaitwa kukazia hukumu. Hata Mwana FA na AY wanaiomba Mahakama iwape kibali cha kushika mali ya tiGo ili waweze kulipwa 2 bil yao., na mijitu kama wewe yamejaa ccm!!! Sasa hapo umeshindwa kuelewa nn!!!???
Jibu ni kuwa Kipanya hakuona umuhimu wa Tundu Lisu kufanya hiyo press conference ndio maana akaona ni afadhali aliyeenda kumsikiliza Tundu Lisu angelifanya shughuli zake zingine (homework) kuliko kupoteza muda kwenda kumsikiliza Tundu Lisu. Ila Kwa maoni yangu Kwa Cartoon hii Kipanya kachemka!!!! Tundu Lisu alikuwa sahihi kutoboa siri ambayo serikali ilitaka kutuficha. Hasara yeyote inayoigharimu serikali ni yetu sote kama watanzania, Na wote tutailipa kupitia kodi zetu, Na sio atalipa Sizonje au Bashite!!! Ndo maana inahitajika wale WOTE waliohusika na upuuzi huu wawajibishwe bila kujali vyeo vyao!!!!! Sizonje kwahili hachomoi!!!! Kweli katiba mpya ndo mpango mzima!!! Kwahili sizonje angeshaanza kuiaga magogoni!!!!
Astaghafirurahhhhhh!!!!!
Hovyo kabisaa !Utaugua wazimu mwaka huu, maana hadi picha aliyochora mtu mwingine umeiundia tafsiri 1000.
Wenye akili zetu tumeelewa kuwa issue siyo kudaiwa, bali ni kwa nini tunadaiwa. Ndio maana dogo (mwenye uelewa mdogo km wako) kaambiwa akakojoe akalale kwa kuwa ameshindwa kuielewa akili kubwa.
Huo ni uwongo wa makusudi kabisaa !Loe naona umeuliza swali enye akili...
kwenye hiyo picha Lissu anawaita watanzania awaambie ukweli kuhusu madeni na hasa ndege yao iliyokamatwa LAKINI VIONGOZI WA JUU kupitia polisi wanazuia habari kuwafikia, angalia baba kipanya anavyomwambia mtoto akafanye HW, huyo mtoto ndiye mwananchi na baba ndiye serikali!
Kwa kifupi baba hataki mtoto ajue kuhusu madeni ha sa ile ndege lakini mtoto anaonyesha ana shauku ya kujua!!
hahahahaha Kipanya kamuona huyo tumbo ni mshamba kuwaita watu na kuwambia kuwa serikali ina daiwa wakati akijua kuwa hakuna mtanzania asiyejua twadaiwa tena hizo alizo zitaja tumbo ni chache sana.....
Halafu kilicho mshangaza Kipanya ni tumbo kufurahishwa kushikwa kwa ndege zetu...ndio maana Kipanya ana mshangaa tumbo
Bwana Bandikwe, pambana na hali yako. Kama deni linakuhusu, jiandae kisaikolojia japo walipaji ni walipakodi na si wapiga debeHovyo kabisaa !
Huu mwaka jogoo atataga na beberu atakamuliwa maziwa.Huo ni uwongo wa makusudi kabisaa !
Ndo umshangae Lissu sasa, deni hajaalikwa kuchangia hata senti tano lakini kalishupalia !Bwana Bandikwe, pambana na hali yako. Kama deni linakuhusu, jiandae kisaikolojia japo walipaji ni walipakodi na si wapiga debe
Una deni na mimi ?!Huu mwaka jogoo atataga na beberu atakamuliwa maziwa.
Naona kila post unajibu wewe...Povu Automation!
Kwani hamuwajui si wenzenu wachukulieni hatua sasa!What is this!Yaani Upinzani badala ya kututajia walioficha mabilioni uswizi wao wanakuja kutuambia tunadaiwa!!