Kwa aliyemuelewa Kipanya hapa anasema nini?

Kwa aliyemuelewa Kipanya hapa anasema nini?

hahahahaha Kipanya kamuona huyo tumbo ni mshamba kuwaita watu na kuwambia kuwa serikali ina daiwa wakati akijua kuwa hakuna mtanzania asiyejua twadaiwa tena hizo alizo zitaja tumbo ni chache sana.....
Halafu kilicho mshangaza Kipanya ni tumbo kufurahishwa kushikwa kwa ndege zetu...ndio maana Kipanya ana mshangaa tumbo
Duuuh kumbe watanzania wote tulikua tunajua kua tunadaiwa na hao jamaa walioshika ndege?na waziri mahiga mbn alisema mambo yaende kimyakimya how comes kitu kinajulikana kwa kila mtu then waziri anasema mambo yaende kimyakimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umeona deni hili tuu ndo la ajabu !? Akili za ukawa hizi ! Serikali ina madeni imf, bwnki ya dunia na nchi mbali mbali, sasa deni la kampuni ya barabara ndo limewachanganya !? ....manyumbu !
Kwani hilo ni deni? Tuliikopa lini hiyo kampuni? Ina maana hiyo kampuni ilienda mahakamani kudai kwamba Tz ina deni lake? Tunachanganya kati ya deni na fidia. Hayo uliyotaja ya IMF na World Bank ni madeni, lakini hiyo kampuni ilifungua kesi ya kudai fidia kwa kuvunjiwa mkataba kimagumagu.
 
Mkuu Danny Jully , huyo jamaa ni mgumu sana kuelewa. Cha aajbu baada ya kuona anazidiwa akaamua kumtaja mama yangu bila hata sababu. Achana naye huyo
 
Kwani hilo ni deni? Tuliikopa lini hiyo kampuni? Ina maana hiyo kampuni ilienda mahakamani kudai kwamba Tz ina deni lake? Tunachanganya kati ya deni na fidia. Hayo uliyotaja ya IMF na World Bank ni madeni, lakini hiyo kampuni ilifungua kesi ya kudai fidia kwa kuvunjiwa mkataba kimagumagu.
so what !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa kikubwa cha Mwanasheria maana yake ubongo mkubwa huo, ukijaribu kushindana nao lazima udhalilike.
Kitaalamu ubongo mkubwa unamaanisha haujafold kama inavyotakiwa na hivyo ni ubongo usio na lolote la maana.
 
Wewe ni jinga kama jina lako,
Watu wote watakaodhani Lissu ameitisha press ili aseme kuwa tunadaiwa hawana akili kama huyo mtoto,

Unahitaji kuwa Lissu kupangua hoja za Lissu
Lissu hana hoja ana kelele!
Hata mimi nikiitisha press kama mara tano hivi nikaongea kwa kelele basi nitakuwa "Jembe"
 
Huyo kipanya ni kama serikali, inajaribu kuwaficha wananchi (mtoto) wasisikie na kuujua ukweli, ndio hapo anatakiwa akafanye homework ili asione.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mtu nimemsomesha toka awali mpaka LLB kwa pesa yangu. Wewe na Jamaa yako mnatembea na 'price tag'
Shemeji yako mwenyewe ambaye wewe unaishi kwake kwa mgongo wa dadaako haja thubutu kumpita Bashite.

Kakojoe ukalale
 
Back
Top Bottom