Jibu ni kuwa Kipanya hakuona umuhimu wa Tundu Lisu kufanya hiyo press conference ndio maana akaona ni afadhali aliyeenda kumsikiliza Tundu Lisu angelifanya shughuli zake zingine (homework) kuliko kupoteza muda kwenda kumsikiliza Tundu Lisu. Ila Kwa maoni yangu Kwa Cartoon hii Kipanya kachemka!!!! Tundu Lisu alikuwa sahihi kutoboa siri ambayo serikali ilitaka kutuficha. Hasara yeyote inayoigharimu serikali ni yetu sote kama watanzania, Na wote tutailipa kupitia kodi zetu, Na sio atalipa Sizonje au Bashite!!! Ndo maana inahitajika wale WOTE waliohusika na upuuzi huu wawajibishwe bila kujali vyeo vyao!!!!! Sizonje kwahili hachomoi!!!! Kweli katiba mpya ndo mpango mzima!!! Kwahili sizonje angeshaanza kuiaga magogoni!!!!
Astaghafirurahhhhhh!!!!!