Kwa aliye serious .

Tangia unatafuta mpaka leo hujapata tu!?????? I think u may not be serious at all
 
Hapo kwenye avatar ndo uhalisia teh teh teeeeh, mimi natokea kanda ya ziwa bhana njoo tufurahie maisha.
Userious unatakiwa na sipend maisha ya drama kwani humu jf hatujwahi shuhudia ndoa za members ambao walikua hawajuani kabisa before

Sent from mTalk using microsoft lumia 950xl
 

Mkuu hujaweka bayana status yako kwa sasa je una mtoto wa nje maana wengine hawapendi kulea watoto wasio wao,unashughulika na nini?funguka ili uuzike mapema😀
 
Ndokama hivi njoo tuwaonyeshe kama humu inawezekana kupata mume, ila ziwepo kama hizo za kwenye avatar.

Userious unatakiwa na sipend maisha ya drama kwani humu jf hatujwahi shuhudia ndoa za members ambao walikua hawajuani kabisa before

Sent from mTalk using microsoft lumia 950xl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…