Kwa aliye serious .

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Habari wana MMU .
Najitokeza kwenu leo hii nikiwa na nia ya kuweza kuanza maisha mapya ya kimahusiano hasa ukizingatia kua tunaingia mwaka mwingine soon tuNapatikana lindi kwa sasa kimaisha ila kabila ni msukuma.
Umri wangu ni 28 yrs nw na pia ni mkristo na watu wa kanda ya ziwa watapewa kipaumbele 0783848802Jinsia ni me
 
kwa hiyo avarta yako mkuu...!
utawapata tu wakuotosha, maana wanaonunulika wanashajitangaza tayari..
 
kwa hiyo avarta yako mkuu...!
utawapata tu wakuotosha, maana wanaonunulika wanashajitangaza tayari..
umenichekesha sanaaaaa kaka,,,,Ila mapenzi yakutangazana kwenye mitandao huwa sio mazuri,,,anyway it was Just my comment kwa upande wangu.,..,.maybe bahati yako kaka
 
Hapo kwenye avatar ndo uhalisia teh teh teeeeh, mimi natokea kanda ya ziwa bhana njoo tufurahie maisha.
 
Pia eleza wazi isijekuwa na wewe hujaribiwi
 
Kwani nani kawaambia ni mwanaume huyo jamani? Labda ni mdada je anatafuta mume?

Ni wapi katika bandiko lake kasema yeye ni kaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…