MM ni binti Nina miaka kati 24 hadi 27 yaani hapa Kati.Nina sababu maalumu za kutokutaja miaka kamili.najitegemea, ni mweusi maji ya kunde, nimekuja hapa natafuta mwenza wa maisha, alie tayari kuwa na familia yaani baada ya kuoana ,na kuweza kuwa na watoto, na mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kujitegemea na kuja kutunza faimilia yake .Ambae yupo tayari kwa ndoa na sio kuzini.awe tayari kupima HIV.na mwenye uvumilivu.Napenda kuheshimiwa na kuheshimu pia. awe na umri Kati ya miaka 30 -38.Kama uko tayari ni PM number kisha tutajuana.
Kama hutaweza kuchangia hii mada bila kumkwaza mtu. naomba upite tu. Ahsanteni