Kwa akina dada: Hivi mwanaume wa kingoni ana nini?

Nilishabahatika kuishi na Wangoni ni wacheshi sana hilo ndio nalofahamu kuhusu wao.Ila sijui kwenye suala la kupendwa na mabinti.

naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na sisi tuige?
 
mi niulize kuhusu wachaga labda nitakujibu ila wangoni hata wa stori sijawai kumpata
 
naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na sisi tuige?

nasikia mngoni bora umwachie pesa akuangalizie ila siyo mwanamke wako..ha ha

sijawahi kufikiria kabila kwenye ku-rate game!...ila niliokutana nao wote sijajuta mana nilijituma na walijituma haswaa kwenye mahaba!!..:tonguez:
 
wanavyodai wanaume wa kingoni mitarimbo yao ipo kama mwiko vile kwa hiyo huwa ni noma yaani hapa mbele huwa imevimba kama mwiko.
Ahahahaaaah!!! Hii ni kali. Lakini mbona huku mtaani wasukuma ndio wanaogopwa!!
 
mimi niliambiwa mwanaume wa kingoni mpe pesa akupelekee popote zitafika salama
hata mamilioni yatafika salama.....

but ole wako umwambie amsindikize mkeo sehemu..........lol

Hiyo stori hata mi ilinifikia
 
naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na sisi tuige?

wahaya

ndio kiboko ya wote
 
naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na sisi tuige?

what are u talking about?
 
Ni stori za kitaa hamna uhalisia sasa hivi mwanaume yoyote alishiba anaweza kukudozisha vizuri tu
 
Jamani nahisi ni wote wanaume kwa wanawake wa kingoni ni wataalam wa mahusiano, kuanzia kuongea na wapenzi wao, treatment zao, na hata yale mambo ya kikubwa, mie kwa vile ni mwanamke naongelea mwanaume wa kingoni, huwa wanajua wamwambie nini mwanamke afurahi ndio maana wanaweza kuwa na wanawake hata wanne lakini kila mmoja kwa wakati wake, na hata wakigundua wamepangwa huwa bora wavumilie tu, Wangoni wanajua kuhudumia/gharamia mwanamke wake kulingana na kipato chake, huwa wacheshi huchoki kuongea nao sijui kwa nini ni karibu wote naowajua wako hivi,

Kwenye zile anga za ndani sio wavivu sijui huko kwao kuna kidarasa cha jando? maana laaaaa salaleeee utafikiria kile kitu chao ni mwiko halafu kinasonga ugali kwa sufuria lol? hatari lakini salama...... Wadada wengi wakigusa hapo huwa hawabanduki
 
Back
Top Bottom