Kwa akina dada: Hivi mwanaume wa kingoni ana nini?

nyengo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
454
184
naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na sisi tuige?
 
Nyengo naamini kua swali lako unatat mtu ambae amewahi lala na mngoni,
ingawa personally sijawahi but hao nilokutana nao katika maisha yangu am
proud to say kuwa wanastahili pongezi... sio lazima awe mngoni... kwa mwanamke
anaependa apate mwanaume anaefaa kuna features unaangalia kwake as a
person but kabila sio moja wapo - ingawa ni kweli watu wa eneo fulani au
design fulani ni wataalam wa hayo mambo... uwe na amani ukute na wewe
ni mkaree ila tu hujabahatika kusikia mwenzi wako akikusifia... au kweli
ya wezekana other wise....
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Hakuna mahusiano yoyote kati ya kabila na utundu kitandani,but nijuavyo mimi ni kuwa ukitaka kujua chochote duniani unaweza!
 
Hakuna mahusiano yoyote kati ya kabila na utundu kitandani,but nijuavyo mimi ni kuwa ukitaka kujua chochote duniani unaweza!

mimi na pearl tumejitolea kutafuta wangoni kwa ajili ya research. Tutawapa report.
 
mngoni nipoo sisi ni wanomaaa jamani. kwanza jina la NYENGO kule kwetu ni kifaa flani cha kukatia nyasi. yeyote anayetaka RESEARCH NIPOOO NI PM
 
Nyengo naamini kua swali lako unatat mtu ambae amewahi lala na mngoni,
ingawa personally sijawahi but hao nilokutana nao katika maisha yangu am
proud to say kuwa wanastahili pongezi..
. sio lazima awe mngoni... kwa mwanamke
anaependa apate mwanaume anaefaa kuna features unaangalia kwake as a
person but kabila sio moja wapo - ingawa ni kweli watu wa eneo fulani au
design fulani ni wataalam wa hayo mambo... uwe na amani ukute na wewe
ni mkaree ila tu hujabahatika kusikia mwenzi wako akikusifia... au kweli
ya wezekana other wise....

Asha, to be honest nimejikuta kuwa nimeipenda sana hiyo statement,
sijui kwa nini tu!
 
wanavyodai wanaume wa kingoni mitarimbo yao ipo kama mwiko vile kwa hiyo huwa ni noma yaani hapa mbele huwa imevimba kama mwiko.
 
Back
Top Bottom