Kwa akili niliyonayo sasa kama ningepewa nafasi ya kuchagua pengine nisinge chagua dini yangu ukristo

Bora umesema.
Nilifundishwa kwamba ukiona jambo haliko sawa na ukabakibkimya, unachuma dhambi wewe. Maana huenda anayefanya makosa hajui lolote isipokuwa alihitaji msaada wako.
 
Mlokole mwenye kufahamu asili yangu , kazi ya dini za Kizungu na Kiarabu ni kuharibu kabisa utamaduni wa mtu mweusi ili tuendelee kuwa watumwa wa utamaduni wao milele na milele
Wewe una uhakika gani kama karne zilizopita hiyo imani ya mizimu haikuja na meli?
Unajua babu yako wa kwanza Afrika aliabudu nini?

Ukitaka kuabudu mizimu rukhsa. Ni uhuru wako, utumie. Ila huwa mnakosea sana kudai mnafuata dini ya asili ya muafrika as if mnajua for sure.
 
Elimu ya Kemet inajulukana, muombe imhotep na Imhotep Imhotep wakusaidie kukupa madini
 
Hizi dini siku hzi ni mchongo... Fanya wema tu... Dini za wazungu na waarabu.. Zipo kwa ajili ya kupumbaza watu.....
 
KILA kitu kina original na feki, pole tafuta kanisa original utojuta.
Chochote kilicho nje ya Biblia ni feki
 
Iko hivi,Uisilamu unasema kila mtoto duniani yoyote huzaliwa akiwa Muisilamu,hukoma kuwa Muisilamu pale anapobalehe
 
Kuna jamaa yangu alikulia katika Ukatoliki akaja akaukimbia na kwenda kwa hawa manabii na mitume wa kisasa hawa. Kapigwa matukio huko mpaka akauza kakiwanja kake na vibiashara vikafa akiwa amekazana kumtolea Nabii wake mpaka akili zimemkaa sawasawa amerudi kwenye Ukatoliki kimya kimya. Kumuuliza imekuwaje akasema hana hamu na manabii na mitume na sasa karudi kwenye dini yake ya kweli


Ukristo umegeuzwa biashara siku hizi....
 
Kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi yetu naamini uko huru kufanya maamuzi kulingana matakwa ya moyo wako. Hujachelewa Bado
 
Hujakosea ila ukweli ni kwamba dini zote hizi ni za kipuuzi, hazina maana yeyote kwetu waafrika. Mitume karibia ya wote si kwa Waislam, Wayahudi au Wakristu walikuwa wanaua kwa jina la dini na Mungu na wakati Mungu huyo huyo amekataza kuua. Utasikia sheikh anawahimiza vijana kuiga mifano ya Mohammed wakati Mohammed alikuwa mbakaji, muuwaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…