Kwa aina hii ya muziki, Aliyemshauri Diamond kugeukia biashara ya karanga alimsaidia

Mtu kama huyu anayelala kwa shemeji, kwenye chumba kirefu hajui maana ya investment na soko la kimataifa la mziki linataka nini. Kwa taarifa yako kwa mwaka huu wizkid, davido, olamide, yemialade wametoa nyimbo zaidi ya tatu na leo hii wizkid katoa album. Tatizo vijana wengi mnapenda mafanikio, lkn hampendi kujifunza kwa waliofanikiwa na ndio maana hamfanikiwi mnaishia kujenga majungu, wivu na chuki za kijinga mpaka mungu anashindwa kuwabariki.
Well said bro
 
d5626c4a3d71dbc10d08aa059af28245.jpg

Pole mtoa mada
Anatakiwa kutolewa pole na rambirambi kabisa.
 
Hpo ndio huwa ananishangaza sana Ally anaweza kaa mwaka akasurvive na kanyimbo kamoja tu ama asitoe kabsaaaaa na bdo akawa gumzo cjui kanajiamini nn kle kajamaa wasanii wengi huogopa kukaa kmya jpo miezi 6 tu mm binafsi ni shabiki yke ila ananikera sana jinsi alivyo slow slow hajali yaani hana wcwc connection alizowahi kutana nazo angezipata Nassib cjui leo hii tungemuokotea wp mda huu Nassib yko fast sana akishaona kwamba hii ni fursa!

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Naseeb yuko chap na fast minded ndio maisha ya sasa yanataka hivyo, miezi 6 hujatoa nyimba watu wakukumbuke kwa lipi? Wakati kilichofanya watu wakutambue ni muziki? Wacha maneno weka muziki.
 
Ukitaka kuona watu wenye mahaba ya dhati kwa naseeb basi katika thread hizi za kumkosoa.

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Inaumiza sana kuona mtu ana nyimbo tatu zinatamba kwa pamoja WAKATI MWINGINE ANAFANYA NYIMBO MOJA ZAIDI YA MARA TATU i mean aje remix

Post sent using JamiiForums mobile app
Akiwa nominated anashangilia...akikosa tuzo anasema sifanyi mziki kwa ajili ya tuzo!
 
Juzi kachukua tuzo ya sound city. Kwel mziki umemshinda. Na ndio msanii anayeongoza hapa Africa mashariki. Kama yy kashndwa wengne watafanyaje?
 
Back
Top Bottom