Kwa aina hii ya muziki, Aliyemshauri Diamond kugeukia biashara ya karanga alimsaidia

4002ce93c3036608ff253aa7527f8497.jpg

Kamulize Yemi Alade anapenda nini karanga ou video ya Eneka wa Diamond?
 
Kwa thread hizi za kila siku, inaonesha bado mondi anakimbiza. Siku jina lake likipotea midomoni mwa watu nitaamini hizi porojo za vijiweni na wivu wa kishamba.
Madukani karanga zinanunulika balaa ukija redioni nyimbo zinapigwa balaa. Aiseeeee mondi kiboko

Mrs Van
 
Mameneja wako ndio wakulaumiwa. Dogo hana elimu. Zaidi ya kipaji. Sijawah ona mameneja karibu watatu. Upeo mdogo. Dogo hapumziki hata miezi sita katoa wimbo. Jamii inakuzoea na kukuchoka pia. Angalia wasanii wa nje. Hawatoi nyimbo hovyo. Nabado wanamafanikio. Sijui wanamziki wa bongo. Wanahitaj mameneja wenye vigezo gani... Wanachangia kuwapoteza wasanii

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app

No! Miezi sita unasahaulika mzee Baba. Utakuta mwenzako keshakamatia usukani
 
Wivu Ni kidonda, ukishiriki utakonda. Sikujui mtoa mada lkn unaweza kuta unaishi nyumba ya kupanga hata gar unayotumia haizidi mil 5. Maajabu unataka kupambana na mondi......Mungu akupe heri...
 
No! Miezi sita unasahaulika mzee Baba. Utakuta mwenzako keshakamatia usukani
Hpo ndio huwa ananishangaza sana Ally anaweza kaa mwaka akasurvive na kanyimbo kamoja tu ama asitoe kabsaaaaa na bdo akawa gumzo cjui kanajiamini nn kle kajamaa wasanii wengi huogopa kukaa kmya jpo miezi 6 tu mm binafsi ni shabiki yke ila ananikera sana jinsi alivyo slow slow hajali yaani hana wcwc connection alizowahi kutana nazo angezipata Nassib cjui leo hii tungemuokotea wp mda huu Nassib yko fast sana akishaona kwamba hii ni fursa!

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
mr niceeeeeeeeeeeeeeeeee
Biashar jmn ndo ivo bt diamond anauza karanga miatatu lkn bakresa juice yak nyngn ni mia mbili lkn halingn NA ww unaeandka uku mtandaoni cz NA kwa biashar Ya hela hiyo anaowafnykz anaowalipa million kwa juice Ya miatano tu tumien akili

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
mondi kimbiza baba kimbizaaa,mondi kama maji tu usipo oga utaoshea ama utakunywa kama si kupikia babaaaà.Pigapigaaaaaa sa hivi wanamtafuta kiba kwa tochi walau wamuone,kumbe mwenzao kishaona anatumia hela nyingi majibu finyu
 
Back
Top Bottom