kuzungusha linta....

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,710
eti jamani nyumba standard ya vyumba vinne,sebule na jiko kuzungusha linta itanicosts shilingi ngapi???niko mbali na nahisi napigwa vibomu lol..
again,kutoka kwenye msingi hadi kwenye linta nyumba ya kawaida inakuwaga na matofali mangapi???sita au nane? lol
 
dada yangu, ur questions are too general... I would really lav to help u, but atleast give me a starting point, unamwaga ringbeam ya thickness gani, na je tofali ulijenga za kusimama au za kulala, unamwaga zege yenye concrete mix ratio ya ngapi?, unaweka chuma za specification gani kwenye hiyo ringbeam and things like those, from there is where u can atleast have a room for pricing the ringbeam (in layman language mnaita lenta)
 
thanks mkuu,ila mpaka hapo ilipofikia sijaijenga mie sijui lolote kuhusu hio nyumba zaidi ya tofali zilinunuliwa,nimepewa figure ya 2.5M kuzungusha hio lenta nikataka kujua kama nalaliwa au la lol,labda nigeuze hayo maswali kwako which is the best chuma za kutumia?nimwage zege yenye concrete mix ratio ngapi?na nimwage ringbeam ya thickness gani??and your total price itakuwa shiling ngapi?lol
 
sawa dada, nmekuelewa, acha hiyo very approximate price nikupe kesho nikishafika ofisini na ntakupa detail zaidi aftta going through various projects i have dona na prices zake zilivokua,,,, but mind u, the prices will b APPROXIMATE,,, if u want me to give u exact prices,atleast i have to lay my hands on ur architectural + structural drawings of the house,
 
Mr. Architect,
Hizi nyumba wanazojenga watu wengi huwa hazina dwgs zozote. Kuna vibarua wa muda mrefu ambao walijibadili na kujiita mafundi, siku hizi ndio Engineer wa hizo kazi. Nimeisoma hii thread na kwajinsi ilivyo shalow, nimeona msaada wangu utakuwa wa assumptions zaidi kuliko reality!
 
hahahaahah,, ni kweli unayoyasema mkuu,, watanzania wengi wanaona kama consultunts kwenye maswala ya ujenzi wanakulaa pesa nyingi, but in reality, noo.... Kujenga na fundi moja kwa moja costs more, coz sometymz wanaiba sana,,, mimi nimewahi kuona jamaa kajenga na mafundi, hawakumuwekea nondo hata moja kwenye ringbeam, baada ringbeam ikawa inapasuka crack ya kama 25mm, na ni zege hiyo,imagine,,,, please tanzanians, wake up, consultants wa maswala ya ujenzi tupo kibao,hatuna kazi,msikubali kudanganywa na mafundi without having a proffesional advice,,,
 
Sometimes hao mafundi wanaover design sehemu ya kuweka nondo 2 atakuwekea 6, ushauri wangu tafuta architect, engineer na qs wakushauri! Shortcuts zitaku cost zaidi!
 
dada umesema nyumba ya kawaida.weka wazi yafuatayo ili ushauriwe
1-Vyumba vingapi
2-ukubwa wa kila chumba
3-unataka kuezeka bati au vigae.
4.ukiweza ukubwa wa tofali ulizotumia
Majibu yote hayo utayapata kwa fundi.mwambie akutumie kwa SMS.then unakopy na kuipaste hapa.ukitumia maneno unaweza kupoteza maana.

Mkuu Architecture ameshakwambia yupo tayari kutoa utaalamu wake.
 
Numba ya vyumba vi4 ina cost atofali yasiyozidi 2500,na kila tofari ni stnd 700-1200,Evr 900(usafiri ni 100 kwa tofari) ukinunua mengi wanakupa kwa discount so umepigwa kama laki 2 mpaka tatu kwa uliwapa hela wakujengee,Kozi za msingi standard ni 3-6 inategemea na slope,kama ipo kwenye flat surface ni kozi 3 tu kama umeambiwa 6,wamekupiga changa la macho.linta kwa nyumba yako utanunua nondo za mil 12(utanunua 15 @16500, + usafiri inategemea lakini mara nyingi mtu ananua karibu na duka la ujenzi sehemu usika haiwezekani ukae bunju uende kununua nondo manzese,kwahyo usafiri @nongo unaadd 500/= so @nondo 17,000/= times 15 unapata 255,000/=) mafundi wengi ni wezi sana,Kwa kifupi nyumba kutoka chini mpaka juu ni simple kujenga haikost tatzo finishing weeee::::Upige kigae cha kiouth,Niru,Gypsum accesories,Tiles,Milango,Dirisha,Plasta,kenchi,perver blocks kwa ajili ya ukumbini,fensi,gate lol
 
mkuu, una uhakika nondo 15 za 12mm zinatosha kufunga ringbeam ya a 4 bedroom house????? Au nimeelewa vibaya??? Kwa kifupi nnavojua mimi kama architect sio mtaalam sana wa maswala ya nondo kama structural engineers, lakini kwa experience niliyonayo, hapana, i dont think its possible,, ni beam ya namna gani unatengeneza???
 
Haya sie tunaangalia tu wataalamu mnavyobishana, halafu ndo mnataka kesho tuwafuate mtufanyie estimate, si ndo mtatujengea nyumba zinazouliza, ;niue nisiue".

Mnanikumbusha madaktari waliokuwa wanabishana ndani ya chumba cha operesheni, mwishowe mmoja akakata kitu fulani hivi maeneo ya shingoni. Kilichofuatia, mgonjwa akaanza kutetemeka kwa baridi mpaka akafariki, kumbe alikatwa kitu muhimu kweli kinachodhibiti joto la mwili. Dr mwenzake alimuacha ili mgonjwa afe eti ajifunze kusikiliza wenzake, mwee!
 
Back
Top Bottom