Numba ya vyumba vi4 ina cost atofali yasiyozidi 2500,na kila tofari ni stnd 700-1200,Evr 900(usafiri ni 100 kwa tofari) ukinunua mengi wanakupa kwa discount so umepigwa kama laki 2 mpaka tatu kwa uliwapa hela wakujengee,Kozi za msingi standard ni 3-6 inategemea na slope,kama ipo kwenye flat surface ni kozi 3 tu kama umeambiwa 6,wamekupiga changa la macho.linta kwa nyumba yako utanunua nondo za mil 12(utanunua 15 @16500, + usafiri inategemea lakini mara nyingi mtu ananua karibu na duka la ujenzi sehemu usika haiwezekani ukae bunju uende kununua nondo manzese,kwahyo usafiri @nongo unaadd 500/= so @nondo 17,000/= times 15 unapata 255,000/=) mafundi wengi ni wezi sana,Kwa kifupi nyumba kutoka chini mpaka juu ni simple kujenga haikost tatzo finishing weeee::::Upige kigae cha kiouth,Niru,Gypsum accesories,Tiles,Milango,Dirisha,Plasta,kenchi,perver blocks kwa ajili ya ukumbini,fensi,gate lol