Kuzuia kuongea na simu ndani ya benki inasaidia?

Yap. Wizi upo pale pale mkuu. Jamaa wakiamua kweli kuja kuchukua hela zao, huwa ni tendo la dakika chache tu. They won't even last longer. Usiwaoe pale bank tellers wamekaa, pale chini anaweza akawa ana hata mil 70, bado bulk cash cashier, yule ndo ana mpunga mrefu. Sio rahisi sana kufika strongroom kwa sababu ya ufunguaji wake, ila wakifanikiwa ndo daaaah...!!! Hatariiiii...!!!
Kuzuia watu kuongea na simu kunaondoa risk ya wizi kwa asilimia ndogo sana mkuu hasa kwa wateja maana simu anaweza asioongee lakini bado akatuma sms.
Nadhani ni muhimu pia kwa wafanya kazi nao kudhibitiwa
 
Benki hawajiongezi tu! wasingepata shida ya kubandika vijitangazo na kupiga kelele, ni issue ya Network jammer.Unafunga kifaa kinajamisha network pindi unapokuwa ndani ya bank kwisha habari.
 
Ni kweli mkuu. Very true. Ni kwa asilimia ndogo sana, lakini ni bora japo kuzuia hiyo ndogo kuliko kukosa kabisa. Kwa staffs, inatakiwa mkishafika, simu zenu zinawekwa sehemu, hii ni kwa maana kuu mbili, 1. Ni hiyo ya kuminimize risk ya wizi, 2. Ni kuwa na customer care nzuri. Inaaminika huwezi kumuattend mteja effectivelly ukiwa busy na simu yko, which is true. Ila sema hawafuatiliwi sana staffs kuweka simu zao sehemu, japo NADHANI, kuna baadhi ya matawi wanafuata hiyo sheria.
 
Hilo ni jambo la msingi lakini tatizo kubwa wao pia nadhani watakuwa hawapo hewani kwa muda wote wa kazi
 
Ok sawa ili kuepuka hizo risk lakini njia bora zaidi ni kufunga mitambo ya kuzuia network
 
Hilo ni jambo la msingi lakini tatizo kubwa wao pia nadhani watakuwa hawapo hewani kwa muda wote wa kazi
Hapana, unaweza kuzima au kuiacha on. Ila kwa bank teller, HAIRUHUSIWI KABISA kuwa na simu pale till. IT IS STRICTLY PROHIBITED, hasa kwa sababu: 1. Customer care 2. Umakini wa kazi 3. Unaweza ukapata msg yyt ya kusikitisha au kufurahisha sana, akili ikahama then ukapata shot.
 
Usiudhike mkuu. Kuna faida nyingi sana kwao kuliko hasara.
Kama faida nyingi zitakuwa kwao maana tatizo lingine ni approach ya wale baafhi askari wa ndani yaani anavyokutreat ukiongea na simu ndani utadhani ni muuaji au umefanya kusa kibwa sana
 
Ni kweli umekuwa umefanya kosa kubwa kwa sababu wamekataza. Na hyo intimidation anayokupa askari, anakupa ili kukutisha ujichanganye. Na pia si unajua askari wetu wa bongo mkuu...!!! Vitisho kwanza ustaarabu baadae.

Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom