Uzuri wa kifo hiki ni kuwa unakuwa ushajitayarisha nacho unapoamua kwenda kuiba. Kila mmoja anaelewa nini matokeo unapobambwa.mtena kifo cha namna hii kwanza kinatisha halafu kinauma mno...yani unajiona live kabisa kwamba sasa ndio baibai tena kwa mateso kweli