Viumbe vyote hutoka kwenye mavumbi ya ardhi. It is a collection of substances that have been recycled over time. Nataka kuuliza kitu.
Kuwazika watu waliokufa kwenye makaburi yaliyojengwa kwa sementi kuna mchango gani kwa asili ambayo ndiyo sisi sote tumetoka huko?
Viumbe vyote ,wanyama na mimea vikifa vinatakiwa kurudi mavumbini ili viwe recycled na viumbe vingine vitengenezwe/viumbwe.
Kinachotufanya leo tuishi ni matokeo ya viumbe vilivyokuwepo zamani vikafa vikarudi mavumbini ndipo kwa particles hizo tukaumbwa.